Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 3 ya kikazi Jijini Arusha

Urio kimiroI

Senior Member
Jan 2, 2016
146
74
Rais Dr Magufuli anafanya ziara ya siku 3 kwa kuja kufanyakazi ya Amiri Jeshi Mkuu hapa Monduli Arusha.

Atakuwa porini kwa siku tatu kuwapa Kamisheni vijana wetu.

==============

 
Yani kutoa kamisheni tu siku tatu!? Kwani hao vijana wapo wangapi hadi mhe.presdaa atumie siku 3?
 
Siku 3 zote... this is a joke..!! Kwani anaenda porini kufanya nn..? Kutoa kamisheni siku 3...????????????
 
Hata mimi bado nashangaa! Kwa sababu tunaambiwa kuwa huyu jamaa ni mtu wa kasi sana katika utendaji kazi wake. Sasa iweje atumie siku tatu nzima kutoa kamisheni tu? Au watu wote wa wilaya ya Monduli watapewa hiyo kamisheni? Au wewe mleta uzi huna habari sahihi? Masaa3 ukaamua kuita siku 3!!
 
Yani kutoa kamisheni tu siku tatu!? Kwani hao vijana wapo wangapi hadi mhe.presdaa atumie siku 3?
Lowasa
Mbowe
Kingunge
Sumaye
Baregu
Lisu
Mtei
Ndesa
Walikaa week mzima moshi kujadili namna ya kumtoa mbowe na kumweka lowasa na nafasi ya slaa kubakia mbowe au sumaye na bado hawakumaliza ww hushangai tuu unashangaa mambo ya kujenga nchi siku tatu
 
Rais Dr Magufuli si mtu mbabaishaji. Hawezi kaa siku zote hizo kama hana kazi maalum ya kufanya.

Lakini msisahau Tanzania si dar tu. Arusha ni sehemu ndani ya Tanzania. Katika ulimwengu huu wa sasa mtu anaweza fanyia kazi popote. Go magufuli go. Chapa kazi presidaa
 
msibwate kama mbwa koko jambo kama hulijui kaa kimya au uliza kwanza, unajua monduli inachukua vijana wangapi? maana ni chuo cha kimataifa pili vitu vingine kinaenda ki.protocal so it is better to say less than necessary
 
Wakazi wa Arusha jitokezeni kwa wingi kumpokea rais wenu jipangeni barabarani pindi atakapofika.
 
Siku 3 zote... this is a joke..!! Kwani anaenda porini kufanya nn..? Kutoa kamisheni siku 3...????????????
Tatizo hujui namba ya siku za ziara zinavyohesabiwa! Siku tatu hazimaanishi saa 72. Unaweza kuta anatumia saa 50 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…