Rais Magufuli, Ikulu umeshaijua milango yote toka sasa


najuaga wenye vipara huwa wana akili sana, au umenyoa?
 


Asafiri kwenda nje ili iweje? Huko nje serikali yeti inawakilishwa na balozi zetu, hivyo Mh. rais hana sababu yeyote ya kwenda huko.
 
We The People of US ..... in A, We The Cana....in ...dians & We The Bri....in ....tons don't give a f*** about any African Head of State from the South of Sahara Desert.
 
Subr 2025 mpate rais shehe( Muslim) hao ndo huwa hawajambo kuombaomba na kupenda misàada na maisha mteremko
I wonder io mind yako ina power gani! Na kama kwenu we ndo mwenye mind power, I cant imagine the rest!
 
Kiukweli Mh Rais lazima atoke nje ya Nchi hivi sasa.

Asifikirie ma project ya SGR na flyovers yatapata funds kwa yeye kuendelea tu kukaa pale Ikulu..

He needs to move to Developed Nations and if possible sorry them for his awkward statements alizoZitoa kuhusu donors pale mwanzo.

Aangalie tu kwa mfano Kenyatta anavyo move here and there na jinsi Kenya inavyokubalika hivi sasa kwenye Economic Diplomacy.

Sisi Tanzania ndio tulikuwa favourites of China. But now Kenya is the most favourite of China na hii ni kwasababu Kenyatta took an advantage ya Ule mkutano wa China and African Continent uliofanyika SA ambao Mkuu hakwenda alimtuma Samia. Kenyatta aliongea one of the best speeches mpaka PM wa China akatingisha kichwa kumkubali.

Na baada ya pale wakakutana separate then Kenyatta akaenda China. From that moment, there has been different delegations of Chinese Business Community and investors flowing in Nairobi.

Huo ni mfano mmoja tu wa jinsi tulivyopoteza umwamba wetu kwa wachina.

The President need to get put out of the Country and see how he can revive the Country economy by meeting other developed Nations. Kodi zetu hazitoshi kuendeleza hii Nchi.
 
Hivi ni nani kaomba kujengewa uwanja?
Ni nani kaomba kujengewa msikiti?
Nani kaomba kujengewa reli?
Hizo zinaitwa international relation kujenga urafk Wa kiuchumi,
Sio ngoja sasa aje rais Muslim ataomba mpaka pampas za watoto wenu!
Si unaona mwenzenu aliyeondoka aliomba mpaka net za kujifunika na wake zenu
 
Best Comment
 
Hizo zinaitwa international relation kujenga urafk Wa kiuchumi,
Sio ngoja sasa aje rais Muslim ataomba mpaka pampas za watoto wenu!
Si unaona mwenzenu aliyeondoka aliomba mpaka net za kujifunika na wake zenu

Kwahiyo Magufuli akiomba ni international relations? Hiko kichwa chako bora ufugie nywele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…