Rais Magufuli; Email zetu za Kurugenzi Ikulu hazikufiii?

kichwabox

Senior Member
Feb 14, 2016
152
40
MH.dr john pombe magufuli tunakuandikia email nyingi kupitia press@ikulu.go.tz ila hazina majibu huenda zinakwamishwa na majipu machache tunakuomba mheshimiwa uzifuatilie.
 
Jamani mwacheni kwanza atumbue majipu, halafu ndiyo muanze kumtumia emails
 
Labda Salva kafanya kama ya Ndolanga kipind cha FAT, kaondoka na password!
 
Labda Salva kafanya kama ya Ndolanga kipind cha FAT, kaondoka na password!
Ndolanga Mtata alipotoka FAT akazamia msikitini balaa tupu hadi akafukuzwa lakini akagoma pia.... Ng'ang'anizi balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…