Nasema hivi kwa kuwa ukienda kwenye mashirika yako tabia ni ile ile! BUSINESS AS USUAL! Mfano, Benki ya posta wanasema wanatoa mikopo kwa wafanyakazi, kumbe wamesimamisha. Hawasemi ukweli, wanampiga mtu dana dana bila kusema ukweli- business as usual ! Bado, Magufuli you have along way to go! Kesho wanaomba ruzuku serikalini kulipa mishahara wakati hawatafuti pesa!