Hongera Rais John Pombe Magufuli kwa kufanikiwa kuishawishi Uganda hadi ikakubali ujenzi wa mradi huu mzuri kufanyika nchini kwetu Tanzania.
Watanzania tuanze kujipanga ili kuitumia vyema fulsa hii ya kiuchumi.
Kazi kwetu.
Punguza Kejeli Mkuu kwani si Yeye tu ambaye anatumia Tweeter kwani hata Rais wa Dunia Donald Trump anatumia hiyo hiyo Tweeter katika kufikisha ujumbe wake haraka kwa Jamii yake kubwa ambayo karibia 99% inatumia Mitandao ya Kijamii. Hata kama ana mapugufu yake ila tutambue kuwa huyu bado ni Kiongozi wetu na tunastahili kumpa Heshima yake.