Rais Magufuli afuta hati hekta 1,870 za shamba la Kapunga

Muulize Bashir Awadhi, yule Kampeni meneja wa kimkakati wa LOWASSA kwenye uchaguzi mkuu. Ndo alikuwa kule STANBIC, atakwmbia walizipeleka wapi na Lowassa.
ndiye aliyempa yale mamilioni yule gurumo wa ikulu ya jk na mkwe wa baba riz?
 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwarudishia wananchi shamba la Hekta 1,870 kutoka kwa Muwekezaji wa kampuni ya Export Trading Company kijiji cha Kapunga Wilayani Mbarali Mkoa wa Mbeya. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro na Katikati ni Muwekezaji Mahesh Patel.

Wananchi wa Kapunga wakiwa katika mkutano ulioitishwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakati wa kuwatangazia urejeshwaji wa Hekta 1,870 kutoka kwa Muwekezaji.

Shamba la kapunga lililokuwa na Mgogoro wa zaidi ya Miaka kumi ambalo kwa sasa limerudishwa kwa wananchi kutoka kwa Muwekezaji
 
Safi sanaa, ila watumie maji kwa utaratibu unaofaa vinginevyo wataendelea kuikausha Mtera nchi iendelee kukaa gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…