Rais ana mambo mengi, na pale Ikulu ni Taasisi kuna kazi nyingi sana zinaendelea mle ndani, hivyo kutembelea ni sawa hasa ukizingatia Rais hapendi sana kwenda nje ya nchi bila mpango, mimi nawashauri huyu bwana tumuombee atasaidia sana hii nchi...
Na kama amekuta mapungufu tunataraji atamsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Ikulu ....ambaye bila shaka ni Rais
Ngabu
mkutano wa wakuu wa nchi za SADC kaenda Majaliwa
yeye anafanya ziara Ikulu...
sijamuelewa kabisa