Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
470
1,804
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.

Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.

Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.

Katika sherehe hizo, Tanzania tuliwakilishwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango.
==================================================

Burkina Faso's President Ibrahim Traore attended the inauguration of Ghana's President John Mahama.

In one of his rare foreign trips, President Traore enjoyed the privileges of being allowed to wear his military uniform, carry a pistol and have his own armed personal security.
IMG_4877.jpeg
IMG_4878.jpeg

He received loud cheers from the crowd.
 
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.

Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.

Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.

Katika sherehe hizo, Tanzania tuliwakilishwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango.
==================================================

Burkina Faso's President Ibrahim Traore attended the inauguration of Ghana's President John Mahama.

In one of his rare foreign trips, President Traore enjoyed the privileges of being allowed to wear his military uniform, carry a pistol and have his own armed personal security.View attachment 3196677View attachment 3196678

He received loud cheers from the crowd.
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
 
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.

Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.

Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.

Katika sherehe hizo, Tanzania tuliwakilishwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango.
==================================================

Burkina Faso's President Ibrahim Traore attended the inauguration of Ghana's President John Mahama.

In one of his rare foreign trips, President Traore enjoyed the privileges of being allowed to wear his military uniform, carry a pistol and have his own armed personal security.View attachment 3196677View attachment 3196678

He received loud cheers from the crowd.
Kila la kheri kwake....uongozi wa Africa ni mgumu wakati mwingine lazima ubabe utemi kufumba macho na.......dikteta uchwara......
 
Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Yuko vitani mfaransa muda wowote anawala vichwa hukusikia hotuba ya macron juzi. Yale ni mashamba yake wakimfukuza anamaindi. We fikiria kachukua mgodi wa dhahabu na kwa muda mfupu kalipa madeni ya nchi yake ndipo ujue kuwa lazima waendelee kumwinda wamle kichwa.
 
Dogo anapiga kazi sana. Fedha za umma zinatumika kununulia vitu vya maana sio anasa kama Marais wengine. Nasikia alinunua Hard Top 400 kwa ajili ya usimamizi wa miradi.
 
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.

Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.

Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.

Katika sherehe hizo, Tanzania tuliwakilishwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango.
==================================================

Burkina Faso's President Ibrahim Traore attended the inauguration of Ghana's President John Mahama.

In one of his rare foreign trips, President Traore enjoyed the privileges of being allowed to wear his military uniform, carry a pistol and have his own armed personal security.View attachment 3196677View attachment 3196678

He received loud cheers from the crowd.
wananchi wa Ghana walimshangulia mno tangu walipogundua captain nae yupo,

actually,
speaker wa Ghana ambae ndie alikua muendesha shughuli, alimuita captain Toure kama strong man with strong mind.

Muungwana nadhani mikono yake ina shida na sifahamu kwanini haishughulikii ikae sawa 🐒
 
Back
Top Bottom