Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 18,700
- 47,174
Mtu kuweza ku-perform vizuri ni pale unapompa kazi inayoendana na hulka yake.
Maadam afande Awadh kila alipopita inaonekana ni mtu mwenye hulka ya kupenda kupigana, hulka ya kutotaka kutumia akili wala weledi, bali nguvu, huyu anaweza kuitendea vema hulka yake akiishi sehemu ambayo kuna mapigano wakati wote.
Maana huyu mtu, inaonekana alijitahidi kusababisha mapigano huko Mbeya, alipoona hayapo, akaingilia kati hadi kuanza kuwapiga viongozi wa CHADRMA kwa mkono wake!!
Duniani kuna watu wa namna hiyo. Kusipokuwa na mapigano, magomvi na vita, mioyo yao huwa haina amani. Naamini kwa hali ya hapa Tanzania, Awadhi hawezi kuwa na maisha ya furaha kwa sababu hakuna mapigano, hata akianzisha, hakuna wanaoyaendeleza. Angalao kule Palestine atakuwa na faraja moyoni mwake kwa maana kila siku atashuhudia mapigano na mauaji.