Rais Dkt. Mwinyi awahimiza SUZA kufanya utafiti zaidi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,058
707
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mahafali ya Kumi na Tisa (19) ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) ukumbi wa Dkt. Mohamed Ali Shein Kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja tarehe: 28 Disemba, 2023.

 
Back
Top Bottom