Rais Buhari abaki Uingereza kwa wiki moja ili kukutana na Daktari wa Meno

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,810
Buhari-new-pix.jpg

Kwa mujibu taarifa iliyotolewa na Serikali ya #Nigeria imeeleza kuwa Rais #MuhammaduBuhari alitarajiwa kurejea Nchini kwake wiki hii lakini ameongeza wiki moja ili kukutana na Mtaalam wa Afya ya Kinywa.

Buhari aliyesafiri kwenda #Uingereza kwaajili ya kuhudhuria Kutawazwa kwa #KingCharlesIII amepangiwa ratiba ya kukutana na Daktari wa Meno baada siku 5 kulingana na ratiba na nafasi yake ya kuhudumia Wagonjwa wengine.

Taarifa hiyo imezua malalamiko ya Wananchi mitandaoni wengi wao wakidai Rais hajali masuala muhimu yanayoikabili Nchi yake ikiwemo Usalama Dhaifu kwenye baadhi ya maeneo badala yake amekuwa akipendelea kusafiri zaidi.

===============

Nigerian President Muhammadu Buhari has extended his stay in London by a week for dental treatment, his aide has said.

The president had initially travelled to the UK capital last week to attend the coronation of King Charles III.

He was scheduled to return to Nigeria this week but will now stay on "at the behest of his dentist, who has started attending to him”.

“The specialist requires to see the president in another five days for a procedure already commenced," presidential spokesperson Femi Adesina said in a statement released on Tuesday night.

The president's extended stay has sparked criticism from some at home, who say that he should prioritise domestic issues - including its security challenges.

Since coming to office in 2015, Mr Buhari has travelled to the UK on a number of occasions for undisclosed medical reasons.

He is scheduled to hand over to President-elect Bola Tinubu on 29 May.

BBC
 
This is Africa.....🤣 and this is why Trump use to call as with toilets stafs name....😜
 
Ila Africa ni Mungu tu aingilie kati
Kabisa ila Mungu nae tuna mchosha sana kwakweli. K atupatia kila kitu mpaka akili za kujua na kuamua cha kukifanya kwaajioi ya maslahi mapana lakini bado tumekuwa washenzi tu huku tukigandamiza vizazi vyetu hovyo.
 
Buhari-new-pix.jpg

Kwa mujibu taarifa iliyotolewa na Serikali ya #Nigeria imeeleza kuwa Rais #MuhammaduBuhari alitarajiwa kurejea Nchini kwake wiki hii lakini ameongeza wiki moja ili kukutana na Mtaalam wa Afya ya Kinywa.

Buhari aliyesafiri kwenda #Uingereza kwaajili ya kuhudhuria Kutawazwa kwa #KingCharlesIII amepangiwa ratiba ya kukutana na Daktari wa Meno baada siku 5 kulingana na ratiba na nafasi yake ya kuhudumia Wagonjwa wengine.

Taarifa hiyo imezua malalamiko ya Wananchi mitandaoni wengi wao wakidai Rais hajali masuala muhimu yanayoikabili Nchi yake ikiwemo Usalama Dhaifu kwenye baadhi ya maeneo badala yake amekuwa akipendelea kusafiri zaidi.

===============

Nigerian President Muhammadu Buhari has extended his stay in London by a week for dental treatment, his aide has said.

The president had initially travelled to the UK capital last week to attend the coronation of King Charles III.

He was scheduled to return to Nigeria this week but will now stay on "at the behest of his dentist, who has started attending to him”.

“The specialist requires to see the president in another five days for a procedure already commenced," presidential spokesperson Femi Adesina said in a statement released on Tuesday night.

The president's extended stay has sparked criticism from some at home, who say that he should prioritise domestic issues - including its security challenges.

Since coming to office in 2015, Mr Buhari has travelled to the UK on a number of occasions for undisclosed medical reasons.

He is scheduled to hand over to President-elect Bola Tinubu on 29 May.

BBC
Kwan Nigeria SI wamefanya uchaguzi juzi sasa Buhari anakuwaje bado Rais?
 
Bola Tinubu ndiye Rais mtele wa taifa la Nigeria kwa sasa, huyu Muhammadu Buhari ni Rais mstaafu.
 
Back
Top Bottom