Rais Biden anatafakari iwapo atashindana na Trump katika uchaguzi wa Novemba

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,798
MAREKANI: Mtandao wa New York Times umeripoti kuwa Rais Joe Biden anatafakari iwapo ataendelea na mipango ya kugombea Urais kwa awamu ya pili iki ni baada ya matokeo mabaya ya Mdahalo kati yake na Rais wa zamani, Donald Trump

Imeelezwa kuwa Biden ametambua kuwa ana kibarua kigumu kuwashawishi Wapiga Kura wake kama bado ana uwezo wa kumudu majukumu yake huku hali yake na umri vikitajwa kuwa changamoto kwake

Aidha, kwa mujibu wa New York Times, mmoja kati ya washirika wa Biden aliyehojiwa amesema Rais anatambua kuwa ana Midahalo miwili mingine na nafasi yetu imeshakuwa tofauti

Wiki iliyopita Rais Biden alikutana na Trump katika mdahalo wa wazi ambao kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamedai alizidiwa mambo mengi na mpinzani wake huyo anayetarajiwa kushindana naye katika Uchaguzi wa Novemba 2024.

===========

Joe Biden has told an ally he is weighing up whether to run against Donald Trump in November's US election, the New York Times is reporting.

Joe Biden said overnight on Tuesday he "nearly fell asleep" during last week's first presidential debate during which commentators widely said he performed poorly.

The New York Times, which called for President Biden to step aside after the debate, is reporting an anonymous "key ally" of the president said: "He knows if he has two more events like that, we're in a different place" by the weekend.

They emphasised the president is still fighting for re-election but he understands his next few appearances are pivotal.

Read more: The key moments in the first US presidential election debate

Another anonymous adviser told the New York Times the president was "well aware of the political challenge he faces".

After the report was published, White House spokesperson Andrew Bates wrote on social media: "This claim is absolutely false."

President Biden put his performance down to travel exhaustion after going "around the world a couple of times" shortly before the debate.

The US president, 81, admitted he "wasn't very smart" for having travelled extensively in the weeks leading up to the first TV debate of the election campaign in Atlanta.

His performance was such that friends and foes alike have told him to quit the race for the White House.

Mr Biden told supporters at a campaign event in Virginia on Tuesday: "I decided to travel around the world a couple times, going through around 100 time zones."

He added he "didn't listen" to his staff, "came back and nearly fell asleep on stage".

"That's no excuse but it is an explanation," he added while admitting: "I didn't have my best night."

SKy NEWS

Pia Soma: Marekani: Asilimia 72 ya Wapigakura wanaamini Rais Biden hafai kugombea Urais kutokana na Changamoto za Kiafya na Umri
 
Muona mbali niliandika thread ya kuomba raisi Biden ashauriwe kutogombea uraisi kabla hata ya ule mdahalo wao na Trump. Naona washauri wake wamepita humu na kuufanyia kazi ushauri wangu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240703-185144.jpg
    Screenshot_20240703-185144.jpg
    286.5 KB · Views: 4
Yule mzee apumzike tu. Umri unamsumbua hataweza kashkashi za urais kwa miaka 4 ijayo.

Hii ni ishara kwamba hata sasa sio yeye anaeiongoza Marekani. Wanaomtumia na kumlazimisha agombee ndio wanaiendesha Marekani.

Kwa ile debate ya juzi, nilimuonea huruma yule mzee. Hana kumbukumbu ya anachokiongea na hata hajui anaongea nini. Ile ni elder abuse.

Mzee apumzike alee wajukuu.
 
Yule mzee apumzike tu. Umri unamsumbua hataweza kashkashi za urais kwa miaka 4 ijayo.

Hii ni ishara kwamba hata sasa sio yeye anaeiongoza Marekani. Wanaomtumia na kumlazimisha agombee ndio wanaiendesha Marekani.

Kwa ile debate ya juzi, nilimuonea huruma yule mzee. Hana kumbukumbu ya anachokiongea na hata hajui anaongea nini. Ile ni elderly abuse.

Mzee apumzike alee wajukuu.
Nani atampitisha?
 
Naunga mkono hoja
 
Kuna viongozi wengi ndio zikawa historia kuondolewa kama walishika mda mrefu au ndio walishika awamu moja.
#kenya
#uganda
#tanzania
#israel
#urusi
#USA
#congo
#Ujerumani
#Ufaransa
#saudia
N. K
 
Mzee sidhani kama July itaisha kabla hajajitoa kwenye mpambano, mawimbi yamekua makali mnoo, alipigika sana kwenye ile debate.
 
Muona mbali niliandika thread ya kuomba raisi Biden ashauriwe kutogombea uraisi kabla hata ya ule mdahalo wao na Trump. Naona washauri wake wamepita humu na kuufanyia kazi ushauri wangu.
Muona mbali gani wewe wakati kila mtu alikuwa anasema hili?
 
MAREKANI: Mtandao wa New York Times umeripoti kuwa Rais Joe Biden anatafakari iwapo ataendelea na mipango ya kugombea Urais kwa awamu ya pili iki ni baada ya matokeo mabaya ya Mdahalo kati yake na Rais wa zamani, Donald Trump

Imeelezwa kuwa Biden ametambua kuwa ana kibarua kigumu kuwashawishi Wapiga Kura wake kama bado ana uwezo wa kumudu majukumu yake huku hali yake na umri vikitajwa kuwa changamoto kwake

Aidha, kwa mujibu wa New York Times, mmoja kati ya washirika wa Biden aliyehojiwa amesema Rais anatambua kuwa ana Midahalo miwili mingine na nafasi yetu imeshakuwa tofauti

Wiki iliyopita Rais Biden alikutana na Trump katika mdahalo wa wazi ambao kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamedai alizidiwa mambo mengi na mpinzani wake huyo anayetarajiwa kushindana naye katika Uchaguzi wa Novemba 2024.

===========

Joe Biden has told an ally he is weighing up whether to run against Donald Trump in November's US election, the New York Times is reporting.

Joe Biden said overnight on Tuesday he "nearly fell asleep" during last week's first presidential debate during which commentators widely said he performed poorly.

The New York Times, which called for President Biden to step aside after the debate, is reporting an anonymous "key ally" of the president said: "He knows if he has two more events like that, we're in a different place" by the weekend.

They emphasised the president is still fighting for re-election but he understands his next few appearances are pivotal.

Read more: The key moments in the first US presidential election debate

Another anonymous adviser told the New York Times the president was "well aware of the political challenge he faces".

After the report was published, White House spokesperson Andrew Bates wrote on social media: "This claim is absolutely false."

President Biden put his performance down to travel exhaustion after going "around the world a couple of times" shortly before the debate.

The US president, 81, admitted he "wasn't very smart" for having travelled extensively in the weeks leading up to the first TV debate of the election campaign in Atlanta.

His performance was such that friends and foes alike have told him to quit the race for the White House.

Mr Biden told supporters at a campaign event in Virginia on Tuesday: "I decided to travel around the world a couple times, going through around 100 time zones."

He added he "didn't listen" to his staff, "came back and nearly fell asleep on stage".

"That's no excuse but it is an explanation," he added while admitting: "I didn't have my best night."

SKy NEWS

Pia Soma: Marekani: Asilimia 72 ya Wapigakura wanaamini Rais Biden hafai kugombea Urais kutokana na Changamoto za Kiafya na Umri
Amegoma 😁😁😁👇👇
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1808704837531390209?t=USz9Lde772LR07ysvPlHWw&s=19
 
Hafai kabisa aondoke, ugoigoi wake ndio ulichangia Russia kuivamia Ukraine na ndio umefanya ushawishi wa Marekani kupungua duniani na kusababisha kina Iran na North Korea kutamba leo hii.

Katika historia ya Marekani hakuna rais ambaye amekuwa dhaifu kama huyu na China kama ameshindwa kuitwaa Taiwan leo basi aisahau kabisa.
 
Kwa hiyo trump ndo atweza kumzuia ..dunia imebadilika sana mambo ya kumtegemea usa yameshaapitwa na wakati
 
Back
Top Bottom