Rais Azali Assoumani wa Commoro anusurika baada la shambulio

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,812
27,692
Ijumaa 13 September 2024
Moroni, Comoros

Rais Azali Assoumani mwenye umri wa miaka 65 amenusurika shambulio la jaribio la kumuua wakati akihudhuria maziko ya kiongozi mkubwa kidini siku ya ijumaa tarehe 13 September 2024 nchini Comoro katika mji mdogo w Salimani - Itsandra karibu na mji mkuu wa Moroni
1726347669706.png

Picha maktaba : Rais Azali Assoumani wa visiwa vya Comoros

Rais Azali Assoumani anusurika kwa kupata majeraha baada ya askari kijana alipofanya shambulio dhidi ya Rais, athibitisha Bw. Aboubacar Said waziri wa serikali ya Comoro.

Rais Azali Assoumani aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 1999 kupitia mapinduzi ya kijeshi.

Mtuhumiwa aliyetekeleza shambulio hilo ni askari wa jeshi kijana wa umri wa miaka 24, ambaye alitiwa nguvuni na walinzi wa rais huku raia mmoja pia akijeruhiwa alipojitoa kumlinda rais asipate madhara zaidi

Askari huyo kijana gendarme alijiunga jeshi mwaka 2022 alitekeleza shambulizi hilo kwa kutumia kisu.

Leo tarehe 14 September 2024 kupitia taarifa rasmi za Mwendesha Mashtaka Mkuu zinasema mtuhimiwa huyo askari kijana amefariki akiwa mikononi mwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Comoro.
 
Moroni, Comoros

Rais Azali Assoumani amenusirika shambulio wakati akihudhuria maziko ya kiongozi kidini

Askari kijana alipofanya shambulio dhidi ya Rais Azari Assoumani, athibitisha Bw. Aboubacar Said waziri wa serikali ya Comoro.
Hii ni taarifa kubwa na muhimu, labda ingekuwa vema ungeandika kwa utulivu na details za kutosha tupate kuelewa, ungetoa msaada mkubwa zaidi.

Anyways, asante kwa breaking news.

Ova
 
Kaishakuwa dikteta uchwara kabadili katiba na mwanae kamteua kuwa mkuu wa watumishi

Kweli kabisa, wanaigana madikteta uchwara kwa kuwaweka watoto au wakwe zao katika ofisi za rais kama TAMISEMI, ulinzi n.k

Baba na mwana Rais Azali Assoumani na mtoto wake wa kiume Nour El Fath Azali imekuwa gumzo kubwa :
1726370473414.png

Rais wa Comoro Azali Assoumani Amkabidhi Mwanawe Mamlaka ya Makubwa | Kwanza baada ya Afrika

Rais wa Comoro Azali Assoumani amempa mamlaka mapya mwanawe, jambo ambalo wakosoaji wanasema linamfanya kuwa rais 'kivuli' mwenye mamlaka kamili.

Mtoto wa kiume wa Rais Assoumani mwenye umri wa miaka 40 Nour El Fath Azali aliteuliwa kuwa katibu mkuu wa serikali mwezi Julai 2024. Sasa, amepewa mamlaka mapya yanayotaka amri zote zinazotolewa na mawaziri na magavana ziidhinishwe kwanza na mwanawe kabla hazijachapishwa na kupitishwa rasmi.

Hatua hii ya rais kumgawia madaraka makubwa mtoto wake, imeibua wasiwasi juu yake rais Azali Assoumani kudaiwa kujaribu kufungamanisha utawala wa familia yake juu ya taifa la kisiwa hicho cha katika bahari ya Hindi Afrika Mashariki.

Toka maktaba :

View: https://m.youtube.com/watch?v=yjj8mZbh-8M
 
Hili kizazi Cha 2000(Millennia - Gen Z) naona kinakuja Kwa Kasi katika ishu za uasi, aliye mshambulia Trump ni kizazi hiki na huyu naye vivyo hivyo, Hiki kizazi ni Cha kuangalia Kwa jicho Kali sana Kwa watawala
 
Ijumaa 13 September 2024
Moroni, Comoros

Rais Azali Assoumani mwenye umri wa miaka 65 amenusurika shambulio la jaribio la kumuua wakati akihudhuria maziko ya kiongozi mkubwa kidini siku ya ijumaa tarehe 13 September 2024 nchini Comoro katika mji mdogo w Salimani - Itsandra karibu na mji mkuu wa Moroni
View attachment 3095978
Picha maktaba : Rais Azali Assoumani wa visiwa vya Comoros

Rais Azali Assoumani anusurika kwa kupata majeraha baada ya askari kijana alipofanya shambulio dhidi ya Rais, athibitisha Bw. Aboubacar Said waziri wa serikali ya Comoro.

Rais Azali Assoumani aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 1999 kupitia mapinduzi ya kijeshi.

Mtuhumiwa aliyetekeleza shambulio hilo ni askari wa jeshi kijana wa umri wa miaka 24, ambaye alitiwa nguvuni na walinzi wa rais huku raia mmoja pia akijeruhiwa alipojitoa kumlinda rais asipate madhara zaidi

Askari huyo kijana gendarme alijiunga jeshi mwaka 2022 alitekeleza shambulizi hilo kwa kutumia kisu.

Leo tarehe 14 September 2024 kupitia taarifa rasmi za Mwendesha Mashtaka Mkuu zinasema mtuhimiwa huyo askari kijana amefariki akiwa mikononi mwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Comoro.
Leo tarehe 14 September 2024 kupitia taarifa rasmi za Mwendesha Mashtaka Mkuu zinasema mtuhimiwa huyo askari kijana amefariki akiwa mikononi mwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Comoro.🥺😭

Wasingemuacha salama
 
Sijui waarabu huwa wanashida gan yaan huwa wanataka wafie madarakan watawale milele
 
Ijumaa 13 September 2024
Moroni, Comoros

Rais Azali Assoumani mwenye umri wa miaka 65 amenusurika shambulio la jaribio la kumuua wakati akihudhuria maziko ya kiongozi mkubwa kidini siku ya ijumaa tarehe 13 September 2024 nchini Comoro katika mji mdogo w Salimani - Itsandra karibu na mji mkuu wa Moroni
View attachment 3095978
Picha maktaba : Rais Azali Assoumani wa visiwa vya Comoros

Rais Azali Assoumani anusurika kwa kupata majeraha baada ya askari kijana alipofanya shambulio dhidi ya Rais, athibitisha Bw. Aboubacar Said waziri wa serikali ya Comoro.

Rais Azali Assoumani aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 1999 kupitia mapinduzi ya kijeshi.

Mtuhumiwa aliyetekeleza shambulio hilo ni askari wa jeshi kijana wa umri wa miaka 24, ambaye alitiwa nguvuni na walinzi wa rais huku raia mmoja pia akijeruhiwa alipojitoa kumlinda rais asipate madhara zaidi

Askari huyo kijana gendarme alijiunga jeshi mwaka 2022 alitekeleza shambulizi hilo kwa kutumia kisu.

Leo tarehe 14 September 2024 kupitia taarifa rasmi za Mwendesha Mashtaka Mkuu zinasema mtuhimiwa huyo askari kijana amefariki akiwa mikononi mwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Comoro.
Nilitaka kushangaa bado hai kpaka sasa
 
Huyu ni Miongoni mwa ma-Rais madikteta waliopo hapa Afrika.
Namuunga mkono Askari kijana

Back
Top Bottom