Amenena vyema, huwezi acha watu wako wanataabika kwa kukosa ajira kwa kuwa unataka kuwakomoa tu na ajira zipo, Uhuru ameambukizwa vinasaba vya maswahiba wake, ubabe na udikteta, huwezi kubaliana na mtu kwenye mazungumzo halafu wakati wa utekelezaji ulete ubabe,.