Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
30,965
40,812
Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea.

Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi.

Raila agenda ni zile zile:

Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia tu kama kwetu.

Siri ya mafanikio yao ni uwepo wa nguvu ya umma ya uhakika.

Pia soma >
RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA
- Rais Ruto amuomba Raila Odinga kusitisha Maandamano, aahidi kuwalinda Wanahabari

---
Azimio la Umoja One Kenya coalition leader Raila Odinga has called off the planned Monday protests even as he welcomed President William Ruto's call for a peaceful resolution.


Mr Odinga, however, insisted the bipartisan committee proposed by Dr Ruto be established immediately and warned to return to mass action within a week should the talks fail.


“We agree that a balanced parliamentary process co-chaired by both sides and backed by experts from outside should proceed. In our view, this committee should be composed with immediate effect with strict deadlines for resolving the crisis facing the country,” said Mr Odinga.

“In view of the foregoing, we stand down our demonstrations for Monday but in doing so we want to emphasise that we reserve the right to call for demonstrations should this process bear no fruit. Should there be no meaningful engagement or response from Hon Ruto to our counter-offer, we’ll resolve to resume our demonstrations after one week."

Here are some of the key points from Mr Odinga's address:​

  • Azimio has called off the Monday and Thursday demos earlier planned for next week
  • Azimio has acknowledged and accepted President Ruto's olive branch for dialogue
  • They (Azimio) reserve the right to go for demos. Should there be no response they will resume demos after a week
  • They underscore that demos are a fundamental right enshrined in the Kenyan constitution; ask that all arrests related to demos be stopped with immediate effect
  • To immediately engage Dr Ruto's team for a peaceful resolution to the problems facing the country
  • The Cherera 4 IEBC commissioners to be reinstated
  • Government to must address high cost of living
  • Government should go back to subsidies applied by the former regime
Source: Raila suspends Azimio protests, to engage in dialogue with Ruto
 
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga ametangaza kusitisha maandamano yaliyokuwa yameratibiwa kufanyika kesho Jumatatu, na kuwataka Wakenya kuendelea na shughuli zao za kawaida.

Tangazo hili linakuja dakika chache tu baada ya Rais William Ruto kumuomba Raila asitishe maandamano, alisema yupo radhi kuzungumza na Upinzani kwa kusudi la kuangazia baadhi ya kero zao.

"Tumefurahishwa na usemi wa Ruto kwamba Yuko tayari kuzungumza nasi." Amesema Odinga.

Ikumbukwe Odinga alikuwa amesema Jana kwamba maandamano ya Jumatatu yatakuwa ndio 'mama wa maandamano yote'
 
Huku viongozi wakomae kuhusu katiba na tume huru ya uchaguzi,wanasiasa wasiokua na dhamira njema na wananchi,wakae pembeni,wenye dhamira wakae front.

Viongozi wasio na dhamira wakae pembeni au tuwaweke pembeni. Kukaa pembeni haiwezi kuwa ni uchaguzi wao peke yao.
 
Sisi kiongozi wetu wa maandamano ameenda kwenye appointment ya kumwona daktari huko Belgium, subiri arudi ndio utaujua mziki wetu 🤣🤣
Nani kakudanganya? Kaa Kwa kutulia ndugu.

Mbona wavumao baharini papa lakini usije dhani ni hao tu.
 
Kwa hiyo ndo unga utashuka. Raila anatafuta madaraka apate hela alishe na kusomesha watoto wake shule nzuri. Kuna wajinga wameuawa, kuna wajinga wameachwa vilema, wwngine wanauguza maumivu hospitali ila wenye nchi wanaenda kuongea mezani wanafanya hand shaking maisha yanasonga
 
Kwa hiyo ndo unga utashuka. Raila anatafuta madaraka apate hela alishe na kusomesha watoto wake shule nzuri. Kuna wajinga wameuawa, kuna wajinga wameachwa vilema, wwngine wanauguza maumivu hospitali ila wenye nchi wanaenda kuongea mezani wanafanya hand shaking maisha yanasonga

Mtu mwenye miaka zaidi ya 70 atafute ada ya watoto? Ww ni mjinga unayejiamini.
 
'Leo Mh William Ruto ametoa kile ninachokichukulia kama kauli muhimu tangu uchaguzi mkuu kuitimishwa hapa nchini mwetu'.

'Tumekutana na kusikiliza kundi mbali mbali ya Wakenya wakiwemo viongozi wa kidini kuhusu mzozo unaoikumba nchi yetu' -Mh. Raila Amolo Odinga.
===============

Pia unaweza kusoma...
 
Back
Top Bottom