chinchilla coat JF-Expert Member May 16, 2016 5,107 10,968 Jun 21, 2016 #1 Mwanasiasa maarufu Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga akicheza wimbo wa Zigo remix wa AY kwenye tukio moja huko Kenya
Mwanasiasa maarufu Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga akicheza wimbo wa Zigo remix wa AY kwenye tukio moja huko Kenya
Habibu B. Anga JF-Expert Member May 7, 2013 6,557 25,716 Jun 21, 2016 #4 Ben Saanane said: Nimecheka sana Click to expand... Ben unaingiaga hili jukwaa?? Karibu sana mkuu...
Ben Saanane JF-Expert Member Jan 18, 2007 14,580 18,157 Jun 21, 2016 #5 The bold said: Ben unaingiaga hili jukwaa?? Karibu sana mkuu... Click to expand... Nipo mkuu The bold.Asante sana
The bold said: Ben unaingiaga hili jukwaa?? Karibu sana mkuu... Click to expand... Nipo mkuu The bold.Asante sana
Lepanto JF-Expert Member Jan 5, 2015 1,162 500 Jun 21, 2016 #6 chinchilla coat said: Mwanasiasa maarufu Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga akicheza wimbo wa Zigo remix wa AY kwenye tukio moja huko Kenya Click to expand... Napata mashaka na ma DJ wa pande zile.
chinchilla coat said: Mwanasiasa maarufu Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga akicheza wimbo wa Zigo remix wa AY kwenye tukio moja huko Kenya Click to expand... Napata mashaka na ma DJ wa pande zile.
chinchilla coat JF-Expert Member May 16, 2016 5,107 10,968 Jun 21, 2016 Thread starter #7 Lepanto said: Napata mashaka na ma DJ wa pande zile. Click to expand... mashaka ya nini mkuu?
MOTOCHINI JF-Expert Member Jan 20, 2014 27,778 30,749 Jun 21, 2016 #8 Muziki wa bongo ndio kilakitu East Africa
chinchilla coat JF-Expert Member May 16, 2016 5,107 10,968 Jun 21, 2016 Thread starter #9 MOTOCHINI said: Muziki wa bongo ndio kilakitu East Africa Click to expand... wabongo ndio kitu tunachoweza tu...mziki
MOTOCHINI said: Muziki wa bongo ndio kilakitu East Africa Click to expand... wabongo ndio kitu tunachoweza tu...mziki
B bagamoyo JF-Expert Member Jan 14, 2010 23,807 27,668 Jun 22, 2016 #11 MOTOCHINI said: Muziki wa bongo ndio kilakitu East Africa Click to expand... Jamaa zetu hawa wa nchi jirani hawataki tu kukubali ukweli huo.
MOTOCHINI said: Muziki wa bongo ndio kilakitu East Africa Click to expand... Jamaa zetu hawa wa nchi jirani hawataki tu kukubali ukweli huo.
P PhD JF-Expert Member Jul 15, 2009 4,666 3,838 Jun 22, 2016 #12 Raila ndio Rais kipenzi cha wakenya wengi
kalagabaho JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,460 5,884 Jun 22, 2016 #13 PhD said: Raila ndio Rais kipenzi cha wakenya wengi Click to expand... Labda rais wa wajaluo
Heri lee JF-Expert Member Aug 16, 2013 981 536 Jun 22, 2016 #14 Ben Saanane said: Nimecheka sana Click to expand... usicheke...wapinzani siku zote hawana akili....angalia hapa-->> jokes
Ben Saanane said: Nimecheka sana Click to expand... usicheke...wapinzani siku zote hawana akili....angalia hapa-->> jokes
chinchilla coat JF-Expert Member May 16, 2016 5,107 10,968 Jun 22, 2016 Thread starter #15 Heri lee said: usicheke...wapinzani siku zote hawana akili....angalia hapa-->> jokes Click to expand... sasa hapo ni kukosa akili kivip? na hapo umeweka link au nini?
Heri lee said: usicheke...wapinzani siku zote hawana akili....angalia hapa-->> jokes Click to expand... sasa hapo ni kukosa akili kivip? na hapo umeweka link au nini?