Raila aitisha maandamano ya amani siku ya Jumatano kulalamika kuhusu hali ngumu ya maisha

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,799
4,005
Raila anawaambia Wakenya vitu vimepanda bei, (kama wanakubaliana naye) watu waandamane siku ya Jumatano.

Kwanza Raila alitoa ultimatum kwa Rutto, ultimatum ya wiki mbili ambayo itaisha Jumatano.(Ultimatum hiyo bado sijajua inahusu nini).
 
Sasa mbona hawa nyang'au humu jukwaani wanadai eti liinchi lao limeendelea sana, hayo maandamano ya nini tena?
 
Maandamano ndo yatashusha bei ya vitu?, Hivi mbona wstu wajinga kiasi hiki
 
Bora hata huyo!

Hawa wa huku kwetu wamekumbatia mabuyu ya asali tu
 
Back
Top Bottom