baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,549
- 1,732
Habari wakuu
Nataka Kununua pingu kwa ajili ya kujilinda, Najua kwa raia wa kawaida nchini kwetu hapa si kosa kisheria kumiliki pingu, Hata hivyo polisi wanasema hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu, lakini inashauriwa kuwa matumizi yake yawe ya busara na kwa nia njema.
www.jamiiforums.com
Naomba anayefahamu kwa hapa morogoro wanapouza vifaa vya usalama kama pingu n.k na gharama yake
Asanteni.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app

Raia kumiliki pingu si kosa - Polisi
JESHI la Polisi nchini limesema kuwa hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu licha ya jeshi hilo kuwa na mwongozo wa utaratibu wa matumizi ya vifaa hivyo kwa askari wake. Aidha jeshi hilo limetoa mapendekezo serikalini ya kutungwa kwa sheria itakayozuia raia kumiliki kifaa hicho...