Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,839
- 12,583
Habari za asubuhi.
Kila mwanaume mwenye homoni za kiume ni mtu mwenye kutamani wanawake Muda wote.lakini haikupi uhalali wa kuwa nao.
Wapo utatamani kushiriki nao ngono ,lakini mwingine utamuacha aende tu .
Bahati mbaya wanawake wengi wamejenga dhana kwamba mwanaume ni mtu mwenye kutamani Sana uchi.hii imewafanya kuharibu mahusiano au ndoa.kwani kila unapomkosea silaha yake ni kukunyima.
Leo tuangalie cha kufanya Kwa hawa wanawake ukitaka usiwe mwenye kunyimwa mara Kwa mara.
1.Mbembeleze Kwa maneno matamu.
Wengi tumekariri pesa ndiyo kila kitu mpaka tumeharibu ndoa Kwa kudhani mwanamke anapenda pesa pekee.jidanganye.ikiwa utamzingua na kudhani pesa na vijawadi vitamfanya akusamehe, siyo atakula pesa na ataenda kumpa uchi mtu mwingine.
2.Mpe muda.
Kumpa muda mwanamke siyo tu,ukiwa ofisini kwako mpigie simu,mtext,hii huongeza upendo na kuhisi unampa huo muda.
Angalizo ,inategemea mnaishije wengine kumpigia simu kila mara anahisi unamfuatilia mishe zake
3.Omba msamaha wa maneno ukikosea.
Kuna wanaume hata akosee vipi haombi msamaha yeye yupo tayari kutoa hata pesa ndefu lakini siyo kutamka NISAMEHE MKE WANGU.
Msamaha wa maneno una nguvu mno humfanya mwanamke ajihisi mwenye kuthaminiwa na kuheshimiwa.
Ikiwa mkeo ukimkosea halafu anataka umpe kitu ,pesa ndipo akusamehe ni dhahiri ndoa yenu ipo hatua mbaya.
4.Mtoe out ,mpeleke sehemu zenye mademu wakali
Hii itakupa pointi tatu,na kuhisi unamuamini na kumthamini
5.Muonye akikosea (foka,toa macho,kunja uso ila usimpige.
Usiwe muongeaji Sana maneno machache yanaeleweka,kunakoendeleq utaonekana Una gubu.
6.Mtambulishe Kwa jamaa na marafiki haswa wale wa kike.
Utamfanya ajisikie huru kuwa na wewe,( kuna watu hawajawahi kuongozana au kuwatambulisha wake au waume zao)
7.Piga mashine, hakikisha mkeo anaridhishwa na kuenjoy akiwa na wewe,tena kama anakupenda na ana hisia na wewe basi ndani ya dakika chache mshafurahi,mnaoga zenu mnaendelea na mambo mengine.pia mpe pole.kwani ile ni huduma na kimsingi anayeenjoy ni mwanaume,(ukipinga tafiti,fanya tafiti)
8.Usipende kumuongelea au kumsifia KE yeyote mbele ya mkeo.
9.Ukipigiwa Simu yeyote na mwanamke,pokea hata mbele ya mkeo,hata kama ni ya mchepuko,badilisha maongezi kitaalamu tu,uzuri michepuko wengi ni waelewa. (Usidate na mtu asiyeheshimu ndoa yako)
10.Mtunze mkeo,
Usipomtunza atatunzwa na wakware wa mjini
Chukua yanayokufaa