Raha ya mchepuko úwe pisikali au úwe na Pesa hata Mkeo atakuelewa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
26,518
63,984
Kwema Wakuu!

Najua Wanaume wengi suala la kuwa na Mwanamke mmoja NI kipengele. Hiyo siô tatizo.

Raha ya mchepuko úwe pisikali iliyonyooka, yàani Mtoto matata, kiuno thelasini, hipsi thelasini na Saba, kifua thelasini na tatu.

Mtoto laini kama nyama ya ulimi. Dadeki!
Yàani ukimtazama hivi unaishiwa irabu na silabi. Unaongea kihadzabe, dukukwe! Chtii!

Yàani hata ûkienda jehanamu kwaajili yake unapewa special sit au VIP Card.

Au Mchepuko mwenye Mawe. Yàani Mtoto Pesa ndogondogo hazimsumbui. Sijui Pesa ya kuweka Mafuta gari lake, siô shida Zake

Yàani hata Mkeo akigundua ataumia lakini atakuelewa, na siô ajabu akawa Shoga na huo mchepuko.
Kwa sababu unapochepuka kitu cha Kwanza Mkeo anachowaza ni kuwa unatoa Pesa nje Mbali na wivu WA mapenzi.

Sasa unachepuka alafu Kwa Vitu visivyoeleweka yàani hata Mtoto wako akisikia anaishia kukuona Mzee hamnazo huyu.
Wazazi wako wakisikia wanabaki kugugumia tuu.
Mkeo ndîo Kwanza anaona umemtia aibu anaishia kukuuliza umekosa nini kwàke.

Mchepuko unatakiwa uonyeshe Kwa wazi Kabisa kile ambacho Mkeo Hana. Hata Mkeo atakutetea au akienda Kwa mashoga Zake Huko watamwambia kuwa hata angekuwa yeye angeweza? Yàani Mtoto WA Moto kama Uji wa Mzazi aliyetoka Kujifungua.

Sasa unachepuka na Mwanamke Hana mbele wala Nyuma, hata Siku umekufa badala aomboleze anakuja kukutia aibu kuwa anataka urithi WA Mwanaye
Ungechukua mchepuko mwenye Pesa hayo yôte ungeyaepuka.

Taikon Leo nikiwa nimetembelewa na mawazo ya Jinni mahaba.

Ijumaa Kareem
 
Jioni sabato jini litoke mapema.
 
😆Mkuu unaelewa maana ya wakienyeji?

Sijakataa.
Ila wale wa kumtanguliza mbele alafu wewe uje nyumanyuma, au kumpa Google maps aingie Ghetto. Ukiwa umeacha mlàngo wazi Kama Jasusi.

Yaanu unaogopa kutembea naye.

Au akibeba Mimba unapandwa na presha kuwa utaficha Wapi uso wako
 
Back
Top Bottom