Raha na karaha za kuoa mwanamke mzuri

four eyes

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
905
1,406
Habari za mida hii wadau,nimeona nije na uzi huu ili wale wenzangu waliobahatika kuoa wake wazuri waje na shuhuda zao pia.

Namshukuru mwenyez mungu mm ni Kati ya wale ambao hatukuwa na uvivu WA kuchagua au udomo zege WA kuwaingia warembo na hatimae nilichagua mmoja wao kuwa mwenzi wangu WA maisha.

Ni mtoto flan hv aliyejaaliwa sura na umbo zur na rangi ya choccolate,uzur huu unachangiwa pia na kuwa na asili ya Rwanda upande WA babu mzaa baba.

Pamoja na raha na faraja na pongez ambazo huwa napata kutokana na urembo WA mke wangu hasa ndugu na marafiki wanapomuona iwe moja kwa moja au ktk picha nazopost bado Kuna usumbufu mkubwa.

Usumbufu huu unatoka kwa vidume vingi visivyo na staha kwa Mali za watu,wapo watu wengi wanaojaribu kumtongoza kwa inbox za Facebook,whasap na msg za kawaida,wapo pia wale aliokuwa nao ktk mahusiano huko nyuma ambao hawaishi kuomba kupasha kiporo

Hii Hali kwakwel imekuwa kero Sana na imefikia hatua inaanza kunikosesha confidence kwamba itakuwaje iwapo Kati ya Hawa vidume wanaomsalandia atamvutia je hatochepuka?kweli kuoa mwanamke mzuri raha Lakin ni karaha pia.

Karibuni wadau mliobahatika kuoa warembo mtoe shuhuda zenu pia.
 
Weka picha
 
Kumlinda mwanamke asichepuke ni sawa na kuilinda bahari ya hindi watu wasiogelee mkuu... We una unalinda osterbay watu wanadiba kigamboni huko.
Nakushauri tu badili mindset yako juu ya kuhandle hili swala. Maana utatumia nguvu kubwa na bado unaweza usifanikiwe kama mkeo hajaamua kutochepuka.
Hapo labda ufanye maneuver ya kutochokwa, asikuzoee wewe ni mtu wa vibes gani kwenye sex life na normal life, fanya mambo yanayomchanganya asiishie kuwaza kukuchoka, mpe show za kibabe hasa, hapo sasa utakua ni mzigo mwingine wa kuishi maisha yako kumtreat well. Hata ivo bado haina guarantee maana wakati mwingine mwanamke hufanya mambo yanamshangaza sana mwanaume.
 
We jamaa umelishwa nyama ya maku...

Si kwa uzezeta huu..
 
Mkuu kupigiwa ni kawaida coz não wanatafuta adventure flani na hela kuna mijitu inahonga hadi milioni tano ili ikuonje tu so cha kufanya we potezea na simu yake usiguse we assume hagongwi utakua na amani
 
hawaaminiki hao viumbe
 
Mpaka sasa analiwa, ila hujui tu;
Na huwezi kumpa anavyopewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…