The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,597
wakuu ni Adje.
Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu wake.
Jamaa wangu mmoja akajibu hivi.
Hakuna mwanamke aliyepo kwenye mahusiano na anaishi na mwanaume ukamkuta anazunguka saa 5 mpaka saa7 usiku mtandaoni. Huyo ni mdanganyi 😂😂
Nikauliza kwani yeye hapaswi kupenda mpira, akasema hakuna mwanamke wa hivyo, aidha anapitia stress au yupo singo ila mwanaume inawezekana, lakini kwa nature ya mwanamke hiyo mechi kuangalia mpira upo nae unaweza usiimalize mkaimalizia kitandani.
Binafsi kwa upande wangu hili nalikubali kama unangalia na demu mpira ndani mnaweza msimalize hiyo mechi mkaiamishia kitandani.
sasa nashangaaga Whatsapp unakuta demu mpaka saa7 usiku na anakuambia yupo na mpenzi wake😂
Embu wanaume wenzangu tujadili hili suala linawezekana kwa asilimia ngapi?