Rafiki yangu kamwagiwa maji machafu ya chooni na mkewe kisa amemtangazia nia yake ya kufanya mathinaa

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
9,524
33,274
"Never under estimate the mind of a woman" anaweza kukufanyia lolote la ajabu bila we kulitegemea, mgine alikatwa umme wake kule Shinyanga na mkewe kimasihara kwa sababu ya wivu wa kua na mke wapili.

Wanaume kama una lengo la kuoa mathina au mke wa pili lifanye mapema kabla mke wa kwanza hajakuzoea sana nakuota mapembe au mizizi kwako, huyu rafiki yangu (Shide) nilimshauri hivo akapuuzia sasa ona yalio mkuta baada ya miaka 7 ya ndoa yake, na tunavo ona mazingira yake anao ishi na mkewe huyu kuna ulazima wa kuoa mke wapili, sasa mjadala umebadilika anataka ampe talaka aoe wawili kwa mpigo, sema tu kiuchumu iko vizuri mashaallah.
 
Option nzuri ni talaka na kuoa hao wawili kwa mpigo
 
Wewe na rafiki yako ni wapumbavu wote. Wanaume badala ya kupanga mipango ya maendeleo mnashauriana upuuzi.

Siku nikigundua yule wa kwangu ana rafiki anayemshauri upuuzi naye atapata share yake ya maji machafu.
Bibie mbona umekua mkali, hilo nijambo muhimu kwa maisha wa wanaumme mke moja ni hatari hawezi kulidhisha aljali, na wengi tunajadili hayo tukikutana wale wanao jitambua.
 
Back
Top Bottom