Rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kusitisha masomo. Naomba ushahuri tumsaidie

Ndugu zangu JF rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kustisha masomo na ku apply upya nilikua naomba ushahuri na muongozo tumsaidie
Na boom ndo asahau...
Aombe chuo kingine. Kuna jamaa alidisco mzumbe akaapply UDOM tukaanza naye mwaka wa kwanza. Tuko mwaka wa tatu kuna jamaa akaajiriwa pale anatufundisha micro economics kumbe alikuwa classmate wake hapo mzumbe.
Ila awe serious na masomo.
 
Back
Top Bottom