Radio One Stereo, tazizo la taarifa zenu za habari ni mwandishi au ni msomaji?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
21,660
26,612
Hali ya usomaji wa taarifa zenu za habari hazifanani na sifa mnayojipa, usomaji wenu vituo havieleweki kiasi cha msomaji kuishiwa pumzi.

Taarifa husomwa kimperampera yaani dakika sita mmemaliza wimbo!

Rekebisheni usomaji ili zivutie zionekane zimeandikwa na watu waliosomea uandishi wa habari na si sisi wa mitaani.
 
Hao hata uwape ushauri namna gani, hawakuelewi. Mfano, ITV, wamelalamikiwa kubalance sauti hasa kwenye taarifa ya habari, lazima ukae na remote kubalance sauti. Nemekata tamaa kusikiliza taarifa yao ya saa mbili usiku.
 
Watu wanaamini hiyo habari umeishaiona tangu mchana kupitia Social media 😜😜😜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom