Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,574
48,723
Rachel najua upo humu JF. Najua nikikushauri utaniblock.

Baada ya ile hotel kutangaza offer yao ya Tsh 22,400,000/=, huyu mdada akaanza kupost hivi;

Usiyemtaka amekuja mwenyewe. Ukiona manyoya ujue ameliwa! niwafanyaje hawa watu nawasikiliza nyie tuu watu wangu wa nguvu kwani usingizi umekata ghafla it’s now 05:13 am daaamn it let’s blow this unearthed and unbearable tumultuous game . Nyambafff [HASHTAG]#pleasesaynotovilentinesathyatt[/HASHTAG]

Akaendelea..

Niliwaambia jana nitahangaika mpaka nipate compset rates za all big Hotels in Dar especially 5 ✨ stars. Na nimepata kwani Mimi sipendi ujinga. Nilishakuwa revenue manager kwenye hoteli moja jijini. So I have my ways to pull up rates under my sources of information.

Hebu oneni Double Tree Hotel na package yao Valentine inavyonoga . Bado mbona hamjachelewa nendeni mkafanye booking faster msije kukosa vyumba. Ninachopendea Double Tree kwa kweli the level of security is very high na their service ni excquisite. Bila kusahau their confidentially is among of the top notch. Yaani kwa kweli wanajielewa sana. Hata ukienda pale na danga lako hakuna atakayejua everything will be taken under confidentiality policy .

Sasa unasubiri nini ndugu yangu? Mbona bado hujachelewa nenda kafanye booking yako mapema uweze ku enjoy valentines na umpendaye usipate stress. Halafu kumbuka Double tree iko masaki hapo ndipo kitovu cha starehe cha mji kilipo. Yaani unatoka kula bata within 5 minutes unachukua taxii uko hotelini.

Nataka niwape dondoo kidogo tuu Double Tree ndio Hotel inayoongoza kutoa misaada kwa jamii kuliko hoteli zote Dar es Salaam. Yaani nikitaka kuandika hapa misaada iliyotoa mnaweza kuchanganyikiwa. So ni bora kuwa support Hawa Double Tree kwani wana faida kwenye jamii yetu.

Nisiwachoshe nendeni mkafanye booking mapema kwani chelewa chelewa utamkuta mwana si wako. Achaneni na hao akina Hyatt na hiyo offer yao mizenguo nendeni Double Tree ndio mpango mzima. Nenda kajimwaye mwaye na wewe bana usipate mawazo. Hiyo rate mbona hela ya dagaa tuu halafu na late room check out unapata for free. [HASHTAG]#saynotovalentinesdayathyatt[/HASHTAG]

Hakuishia hapo, akawaandikia Hyatt..

Dear Hyatt Dar es Salaam,

Najua mmesikia sauti za wananchi kupitia my power of social media lakini hii vita sio ya Simu bali ni nguvu ya wananchi. Mnajua wazi nina experience ya kufanya kazi na hotels nyingi tuu na kibaya zaidi Kempinski ndio ilikua hotel yangu ya kwanza Tanzania niliporudi kutoka marekani.

Previously nilikua nimeshafanya different hotels in the US! So I had my experience well covered. Ninajua the whole system na msitake kuyumbisha maneno kwenye hili suala la hiyo pesa.

Nafahamu wazi mmenisikia napaza sauti kwa ajili ya watanzanzia wwenzangu waliokuwa hawaelewi nini kinaendelea.

Nina maswali machache kuhusu hii issue ya Valentine package:
Moja, wakati hii bei inawekwa kwenye soko watu wa price control & regulation walikua wapi?
Pili, Ni kwa muda gani mmefanya hivi bila kuzingatia price regulations za Tanzania ?

Je, wakati mkipandisha bei za rate ni vigezo gani mlizingatia na mapato ya serikali yamelipiwa kiasi gani? Kama msemaji wa wananchi tunataka kujua na kufahamu wazi kuwa hizo pesa mnazozipata hamzitakatishi kwani hiyo gharama haijawahi kutokea. Mnaweza kutuhakikishia vipi?

Kingine mnataka kutuambia manaweza kupata watu 300 kwa hiyo amount? Au hapo ndipo mnapotakatisha hizo pesa kiulani bila serikali kujua?

Tunachoomba ni justifications kuhusu hiyo amount ya million 22.4 per room night according to the concerns above.

Last but not least, tungependa kujua Hyatt ni lini mara ya mwisho mmetoa misaada kwenye jamii ? Kwani katika file sina hata historia ya nyie kuchangia madawati, mahospitali pia na wasiojiweza kwenye jamii. Hivyo basi tangu mmeanza tunaomba kujua mchango wenu wa jamii uko wapi? Na ni asilimia ngapi mmetoa kwenye mapato yenu tangu mmeanza?

HAYO NI MACHACHE TUU KUTOKA KWANGU KAMA KUNA MWENYE LA ZIADA TAFADHALI WEKA SWALI LAKO HAPA NAJUA WANASOMA ALL COMMENTS. Swipe for images. [HASHTAG]#SayNoToValentinesdDyAtHyatt[/HASHTAG]

ME Vs Hyatt Kempinski Nasikia ngoma imetrend vibaya mpaka kwenye magazeti. Mwambieni Boss wao asitake nilete evidence ya salary comparisons kati ya foreign staff and national staff and also kuna ile hela ya service charge inavyogawanywa every month inaendaga wapi?. Other hotels be ready am coming for you.

------------

Ushauri wangu kwako Rachel. Achana na biashara za watu, unamuaibisha dada yako. Hyatt Kempinski wana kosa gani kufanya biashara zao? Mbona unatumia nguvu sana kuwapinga?!
---------

Updates: Majibu toka kwa Rachel..

screenshot_2018-02-09-11-08-16-png.692980
 
Four seasons hotel Serengeti (Former Bilila Lodge) is the most expensive hotel..hiyo Mil.22 ni kawaida sana!

Pale four seasons presidential villa per night ni $12,000 sawa na Mil.25..

Wine Laki 7..

Soda ya kawaida 80000/=

Nilifika pale nikajikuta rangi nyeusi ni sisi na wahudumu tu ..na wanaenda watu mashuhuri zaidi duniani..

Huyu Rachel no wonder alitimuliwa Grumeti pale! ni mshkaj wangu in person lakini ana psychological problem inaitwa phantom complex!

Kama hana hela atulie...lile danga lake fupi Nene ambaye anamchukia Matukio Chuma yupo?! teh
 
ngoja aje mkuu yupo humu kajaa tele
 
watu wanaenda dubai,paris etc si hela zao bna .kwani huko dubai wanatoa misaada humu kisa watu wetu wameenda shoping kwao? rachel kaniboa sana halafu hashauriki
 
watu wanaenda dubai,paris etc si hela zao bna .kwani huko dubai wanatoa misaada humu kisa watu wetu wameenda shoping kwao? rachel kaniboa sana halafu hashauriki
Much know sana..nampenda sana Dada yake Wa Upanga mama Nillard ..very beautiful and charming MTU mzima lakini safi sana kuliko woote na Dada yao mkubwa mama mdami!
 
Back
Top Bottom