GREAT INVESTOR
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 128
- 297
Mkali wa RNB R. Kelly kaachia album yake ya kwanza akiwa gerezani.
Jina la album linakwenda kwa jina la I ADMIT IT, kwa lugha yetu ni NIMEKUBALI.
Ndani ya album iyo jamaa kakubali kutoka kimapenzi na madenti wa umri wote , kwa maana ya minor/under 18 na watu wazima.
Go listen good musics.
Link iko chini hapa