R.I.P kifurushi changu pendwa cha Halotel

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,367
Kama kawaida yangu huwa naunga kile kifurushi cha GB 2.8 kwa 2000 kila siku kwa mtandao wa Halotel, Ila leo cha kushangaza ni kwamba kwa sasa nitaweza kupata gb 1.5,
Maumivu nayoyapata ni makali sana maana hizo gb 1.3 walizozipiga panga ni nyingi sana, Napenda kutumia internet kuanzia youtube , streaming plus downloading various stuff,
Hapa nilipo ninawaza sana ni jinsi gani ntavyoweza ku utilize hizi G.B 1.5 ili kutumia internet kama hapo awali

Guys haya ni majanga kwa Heavy Internet users kama mimi walichofanya halotel niliokuwa nawategemea sana na hapa ndio kwanza hata sijui nihamie wapi maana voda, tigo na Airtel
wana bei zao nilizozikimbiaga zamani sana na kuhamia mtandao wa Halotel waliokuwa wana unafuu kupita kiasi enzi hizo.

NAOMBENI USHAURI AMA NYONGEZA NDUGU WANAJAMII
 
Nunua laini ya Halotel ya mwanachuo, inauzwa sh. 5000|=
 
Hamia Smart
 
Njoo airtel unapata kifurushi cha sh1000 ukifika kwa mangi, mwambie hivi nataka vc ya chuo ya buku. akikupa fanya hivi *149*94*.........…...#ok. utapata gb2 dk100 airtel na dk10 mitandao mingine kwa siku 3 (kinachacha baada ya Siku tatu) mwenzio kila siku napakua mi cinema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…