Quickshare inasumbua natamani kurudi nearby share

Mechanic 97

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
825
1,241
Wakuu nisaidieni nilikua natumia nearby share kuhamisha mafile Sasa nilivyo update system simu ghafla Nika kukutana na quickshare.

Sasa hapa ndipo tatizo lilipoanza Nikwamba speed yake ni ndogo sana kama ya Bluetooth. Hivyo wakuu naomba mwenye kujua solution aisee anisaidie.

Au hata jinsi ya kurudi kwenye nearbyshare
 
Unapair baina ya kifaa gani na kifaa gan? Kama kimoja hakina tech ya mwengine bluetooth ita husika. Hakikisha vifaa vyote viwili inatumia wifi kupata speed kubwa.
 
Unapair baina ya kifaa gani na kifaa gan? Kama kimoja hakina tech ya mwengine bluetooth ita husika. Hakikisha vifaa vyote viwili inatumia wifi kupata speed kubwa.
Shukrani mkuu ninapair kati ya simu yenye quickshare na tablet yenye nearby share nikituma kutoka Kwenye simu inakua poa ila nikitoka kwenye tablet inakua poa
 
Back
Top Bottom