Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,019
- 159,769
Ilikuwa mwaka 2006 ndio nimemaliza chuo na kuajiriwa kwenye Taasisi moja ya fedha.
Siku moja nikapigiwa simu na mdada, akasema amekosea namba, hakika kwangu alikuwa mgeni kabisa. Kwenye maongezi yetu, nikamchombeza kidogo na kumwekea vikworombwezo vya kumfanya acheke. Ndani ya muda mfupi tukawa tumezoeana na kujenga urafiki. Nikamkaribisha lunch Rose 🌹 Garden.
Rose Garden nilikuwa na appointment na washikaji zangu kutoka Mwanza, Denis, Cyprian, na Willy Muga. Nikawaambia kuwa kuna demu nimemseti atakuja muda si mrefu. Wote tukawa macho juu juu tukimngoja mgeni huyo.
Mgeni alikuwa anatokea Kinondoni, nilimpa maelekezo kuwa achukue taxi Mimi ntalipa. Akawa na Mawazo na kusitasita, kwmba hatufahamiani na je nisipotokea eneo la tukio itakuwaje? Nilimhakikishia kuwa asiwe na wasiwasi aniamini tu.
Tukiendelea kugonga mvinyo, simu ikaita na mtoto kanipigia kuwa ameingia. Nikatoka nje nikaenda kulipa bill ya taxi na kukutana na kimwana. Mtoto akatoka kwenye taxi, mrefu, ana bonge ya tako, bonge ya figa. Nikamkaribisha mezani na kumtambulisha kwa washikaji. Kwa tabasamu nikamwambia aagize kinywaji, tukamwita mhudumu naye akaja fasta kutusikiliza. Binti akaagiza Castle Lager, Mara ikaletwa. Binti akaipiga yote fasta kwa style ya tarumbeta ikaimaliza bila kushusha chupa chini. Akaagiza bia nyingine na kuinywa ka Kasi ileile.
Sio sisi tu tulio mshangaa, ila hata watu wa meza jirani na wahudumu.
Akaja Dada wa vyakula na tukatoa order zetu. Chakula kikaletwa, mgeni wangu akakipiga chote fasta (sahani yake) na akaninong'oneza sikioni kwamba hajashiba. Nikamruhusu aagize chakula. Akaagiza sahani nyingine na kupiga fasta. Akaninong'oneza Tena kwamba hajtosheka, anaomba tuhame kiwanja akale.
Nikampigia simu ndugu yangu John Daniel Mwaipungu kuwa aende Kawe Beach Club kwa Askofu aniagizie samaki mkubwa wa kuchomwa. Tukaingia kwenye gari yangu Mark II Supercharger Double Twincam, 24 valves. Gari ilikuwa ya kibabe Sana, digital dashboard, automatic mpyaaa.
Tukaingia, bibie akakaa front seat, masela nikawaacha nyuma wakibanana. Safari ya kuelekea Kawe Beach Club ikaanza tukipita njia ya kwa Nyerere, Mwinyi, Warioba, mpak Kawe Beach Club. Kule nikakutana John Kisha fika na kaagiza msosi. Huko pia nikakutana na Gill Biz, Yuko na Mwinshehe na Mula Mwakibete.
Tukaagiza vinywaji, na kabla hatujamaliza samaki mkubwa Sana na ndizi nane akashushwa mezani. Kina Gill Biz, Mula na Mwinshehe a.k.a Mwinyi Gunz wakasema wameshakula hivyo kazi ikabaki kwa John na Queen mgeni wetu.
Dada likuwa na speed ya super Sonic akala huku akiwa katuacha sote na bumbuwazi na mshangao mkubwa tukijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.
Tukamaliza kula, John akapanda gari ya kina Mula, tukakubaliana twende Mwananyamala Kinondoni Lubumbashi bar tukanywe. Tulipofika Lubumbashi Bar, msichana akaona kitimoto imening'izwa inawakawaka, akasema tumnunulie nusu kilo, bahati mbaya mshikaji wangu Cyprian akasikia, akasema nusu haitoshi unaonaje tuagize kilo tano?
Binti akaenda jikoni na kuagiza kilo tano na ndizi, sikumbuki idadi yake. Tukaendelea kunywa, akaja mhudumu wa jikoni na kutuambia nyama itakuja kwa awamu mbili, awamu ya kwanza kilo mbili unusu na ya pili hali kadhalika.
Baada ya muda mzigo ukaashuka mezani, akaupiga kwa speed ya ajabu, Kisha akaenda jikoni kumshtua mpishi. Mpishi bila ajizi akaleta kitu, binti akafyeka na kuteketeza kabisa ile shughuli. Tukanywa, tukajichanga, tukalipa bills na kuondoka.
Safari ikaanza kwa kumshusha binti kwao, tulipokaribia kwao akaomba tumnunulie chips mayai, muda huo nilikuwa Sina hata shilingi. Cyprian akatoa mwekundu, akampa Kisha sisi tukasepa.
Njia nzima nilisimangwa kwamba siko makini hadi nakutana na mtu mlafi kiasi hicho. Gill Biz akampa jina la Fyalafyala. Rasmi ndio ikawa code Yake.
Kuweka kumbukumbu sawa, Ni kwamba binti alikunywa bia 28 aina ya Castle Lager Tena kwa style ya tarumbeta, kwa muda wote.
Kesho yake asubuhi ilikuwa ni siku ya jumapili. Saa mbili kasoro, akatuma sms ya tafadhali nipigie, sikumpigia, ila nikamjibu kwa sms kuwa Niko kanisani ntakucheki saa nane. Sikuwa kanisani ila kitandani nikimtafakari Yule binti.
Nikatoka home nikaenda kwa John, John alikuwa akikaa na Bibi yetu mzaa mama. Huko nikapokelewa na Bibi ananiimbia nyimbo za harusi, Bibi yetu alikuwa na upendo Sana na alikuwa rafiki Sana wa kila mtu. Kwake wageni hawakauki, marafiki zangu walimpenda Sana Bibi na walimpa jina la Bishdo.
Bishdo akamaliza wimbo wake Kisha mawaidha yakafuata. Bishdo alikuwa ni mlokole na daima alituasa kumfuata Mungu na kuishi maisha matakatifu. Bishdo akaenniambia kuwa amesimuliwa na John kuwa nimepata mwanamke wa ajabu mwenye kula bila kushiba kunywa na 🍷 kunywa bila kulewa.
Bishdo akasema huyo Dada lazima ana majini yanayokula kila alacho. Risala ilikuwa ndefu, ikaisha kwa Mimi kupigishwa magoti, nikaongozwa Sala ya toba, yakafanyika maombi ya kunikomboa dhidi ya connection za kipepo na msichana huyo, Kisha nkafanyiwa maombi ya ulinzi ili mapepo yasiweze kunidhuru kwa namna yoyote.
Tukatoka na John tukaenda Chagga Bite Bar zamani ilikuwepo pale Makumbusho. Pale tukakutana na washikaji tukaanza kunywa Tena, Mara washikaji wakaja, Cyprian, Willie, Denis na Mafuru Bakari Sanjo
Mafuru alikuwa mrefu Sana na in mwenye utani sana. Akasema kapata taarifa za Fyalafyala na anataka amlishe na kumnywesha hadi Fyalafyala azime.
Nikampigia simu Fyalafyala, nikamwambia kuwa nimepoteza umakini kanisani sababu ya kumuwaza yeye. Aje chagga Bite atanikuta.
Baada ya nusu saa akaingia bonge la mtoto, mrefu, ana bonge la figa, hana mkitambi, kapendeza kinoma.
Mafuru akadata, akaanza kujitasabamisha (Mafuru alikuwa mgonjwa Sana wa totoz zenye kimo kirefu) binti kwa mwendo wa maringo akaja mezani kwetu. Ajatuchangakia, akanipiga ka short wet kiss Kisha akakaa.
Nikamtambulisha Mafuru, na stori zikaendelea.
Mafuru akauliza Leo tuna kula Nini? Mbuzi, kitimoto au samaki wa Kawe Beach Club? Fyalafyala kwa kuwa ni mwanamke akapewa kazi ya kuratibu msosi wetu wa siku. Akasema tuanzie na mbuzi, Kuna mbuzi choma tamu Sana Afrikasana Bar, tukaenda huko.
Mafuru aliagiza upande mzima, tulikula mbuzi Hadi tukachoa, Fyalafyala akasonsomola Hadi mnofu wa mwisho huku akiendelea kunywa Castle Lager ya Moto kwa style ya tarumbeta. Kila tukio lilimstaajabisha Mafuru Bakari Sanjo.
Mtoto hakushiba na hakulewa, Mafuru akasema Kama Kuna mtu hajashiba aongeze chakula. Fyalafyala akaagiza aletewe ugali na makange ya SAMAKI, yakaja akapiga.
Kisa Cha matukio ya Fyalafyala Ni kirefu Sana, ila kwa ufupi yukaanzisha kampuni usiyo rasmi ya betting. Ilikuwa tutakupa sh laki moja iwapo Fyalafyala atashindwa kumaliza kilo tano za kitimoto. Na iwapo atamaaliza Basi wewe utatupa sh 50.000.
Sehemu yetu ya kulia kitimoto ilikuwa kwa Baba Lucy, siku hizi anapikia St. Peter's Oyster Bay, zamani alikuwa anapikia Mwenge Primary. Kitimoto ulikuwa unanunua wewe unayebet. Basi tulikula Sana hizo elfu hamsini hamsini huku tukipata commission kutoka kwa Baba Lucy.
Fyalafyala akashtukia mchezo, akataka tuwe tunamlipa, tukagoma, mapenzi na urafiki vikaishia hapo.
Ila demu mtamu Sana Yule, michezo Yake kitandani si ya ulimwengu huu. Unagonga huchoki, Hana visingizio Wala Nini? Unakula Hadi unakinai papuchi.
Sikukutana nae muda mrefu, nikakutana naye mwaka huu kipindi Cha Coronavirus COVID-19, kawa mmama, tukapiga Sana story,akaniambia siku hizi kaokoka, ameolewa na mchungaji na alikuwa na mapepo, yalimsumbua Sana kutoka yakisema Ni mtu wao kwani mama Yake alimpata kwa waganga hivyo Wana uhalali wa kumtumimisha watakavyo.
Fyalafyala alikombolewa na maombi