Uchaguzi 2025 Pwani: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,814
13,580
Wakuu,

1. Muharami Shabani Mkenge: Mbunge wa Bagamoyo

Nafasi ya Sasa

Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Uchaguzi wa 2020:

Alishinda kwa kura 23,159, akimshinda Maembe Vitali Mathias kutoka ACT Wazalendo, aliyepata kura 5,592.

Elimu

Diploma katika Mahusiano ya Kimataifa na Diplomasia: Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam (2013–2015).
Diploma katika Usimamizi wa Biashara: College of Business Education (CBE), 2008.
Elimu ya Sekondari: Shule ya Sekondari NIT, 1989–1992.
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi ya Vigwaza, 1977–1983.

Uzoefu wa Kazi:

Said Salim Bakhresa & Co Ltd:

~ Alianza kama Accounts Clerk mwaka 1992.
~ Alikuwa Accounts Assistant mwaka 1996.
~ Alikuwa Assistant Administrative Manager mwaka 2005.
~ Alhamia Idara ya Masoko mwaka 2008, alifanya kazi kama Assistant Marketing Manager na baadaye Sales and Marketing Manager kwa Mkoa wa Ilala.

Alifanya kazi kama Liaison Officer kutoka 2016 hadi 2020 Bagamoyo Sugar Ltd:

Shughuli za Kisiasa
Tangu mwaka 2021, ni mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi, na Usalama bungeni.

2. Koka Silyvestry Francis – Mbunge wa Kibaha Mjini

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Muda Bungeni: Tangu mwaka 2010

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 29,797 (alishinda dhidi ya Mtally Michael Paul wa ACT Wazalendo aliyejipatia kura 12,234)

Elimu

Shahada ya Usimamizi wa Biashara kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2004)
Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Tambaza (1987)
Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Lyamungo (1984)
Elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi ya Mrieny (1980)

Uzoefu wa Kazi:

Mkurugenzi Mtendaji wa Aleko Enterprises Ltd. (1991-1994)
Mkurugenzi Mtendaji wa Ako Catering Services Ltd. (1994-2012)
Mwenyekiti Mtendaji wa SF Group Company Ltd. (2001-2015)
Alihusika na usimamizi wa biashara nyingine kama Silver Intertrade Ltd. na Bright Farm Ltd.

Uzoefu wa Kisiasa:

Mbunge wa Kibaha Mjini (Tangu 2010)
Mwanachama wa Kamati za Bunge: Kilimo, Ufugaji na Maji; Kamati ya Uwekezaji wa Umma (PIC)

3. Michael Costantino Mwakamo – Mbunge wa Kibaha Vijijini

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 18,388 (alishinda dhidi ya Kinabo Edward Edmond wa CHADEMA aliyejipatia kura 5,083)

Elimu

Elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi ya Ruvu Stesheni (1989)
Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Mkono wa Mara (1996)
Cheti cha Serikali za Mitaa, Hombolo, Dodoma (2009)
Diploma katika Serikali za Mitaa (2011)
Shahada ya Kazi ya Jamii kutoka Taasisi ya Kazi ya Jamii (2016)

Uzoefu wa Kisiasa na Uongozi:

Mwanachama hai wa CCM na kiongozi
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM (2017-2022)
Mbunge wa Kibaha Vijijini (Tangu 2020)
Mwanachama wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa (2021-2023)

Michango Bungeni
Aliwasilisha michango 22 bungeni na kuuliza maswali 17 ya msingi na maswali 44 ya nyongeza.

4. Twaha Ally Mpembenwe – Mbunge wa Kibiti

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 26,104 (alishinda dhidi ya Kurwa Nkwera Lubuva Kinabo Edward Edmond wa CHADEMA aliyejipatia kura 5,089)

Elimu

~ Elimu ya Msingi katika Shule ya Mtoni kwa Mamamery (1987-1992)
~ Cheti cha Masomo ya Juu ya Sekondari kutoka Al Haramain Islamic Seminary (1993-1996)
~ Shahada ya Sanaa katika Sayansi ya Siasa kutoka Aligarh Muslim University, India (1997)
~ Shahada ya Kwanza na Heshima (Upper Second Class Honours) katika Accounting and Finance kutoka De Montfort University, Uingereza (2006)
~ Diploma ya Uzamili katika Management Studies kutoka Metropolitan Computing and Business College, Uingereza (1999)

Uzoefu wa Kazi:

Katibu Tawala wa Wilaya ya Ruangwa (2016-2020)
Msimamizi wa Operesheni katika Serengeti Shipping and Haulage Company Ltd. (2010-2014)
Mchambuzi wa Fedha katika On Time Automotive Services, Uingereza (2010)
Msaidizi wa Masuala ya Fedha katika My Key Pay LTD (Glasgow, Scotland) na kampuni nyingine nchini Uingereza (2007-2010)

Uzoefu wa Kisiasa:

Mbunge wa Kibiti tangu mwaka 2020
Mwanachama wa UVCCM, Kamati ya Wilaya, na Kamati ya Wadi
Mjumbe wa Kamati ya Fedha ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (2021-2023)

5. Selemani Saidi Jafo – Mbunge wa Kisarawe

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 26,739 (alishinda dhidi ya Baraka Mussa Nandonde wa CHADEMA aliyejipatia kura 2,402)

Elimu

Shahada ya Uzamili katika Maendeleo ya Uchumi wa Jamii kutoka Southern New Hampshire University, Marekani (2005-2007)
Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (2021)
Shahada ya Sayansi katika Elimu ya Nyumbani na Lishe ya Binadamu kutoka Sokoine University of Agriculture (1998-2001)
Elimu ya Sekondari katika Shule za Maneromango na Minaki (1997)
Elimu ya Msingi katika Kwala Primary School (1990)

Uzoefu wa Kazi:

Afisa Kilimo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe (2001-2004)
Mratibu wa Mradi na Meneja wa Plan International (2004-2009)

Uzoefu wa Kisiasa:

Mbunge wa Kisarawe tangu mwaka 2010
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (2017-2021)
Naibu Waziri katika ofisi hiyo (2015-2017)
Katibu wa Fedha na Uchumi wa Wilaya ya CCM (2007-2012)
Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa na Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji

6. Juma Omari Kipanga – Mbunge wa Mafia

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 12,691 (alishinda dhidi ya Riziki Shahari Mngwali wa ACT Wazalendo aliyejipatia kura 2,342)

Elimu

Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Ujenzi (BSc in Building Economics) kutoka 2003-2005
Elimu ya Sekondari katika Shule ya Kibaha (1995-1997) na Shule ya Bagamoyo (1990-1993)

Uzoefu wa Kazi:

Mjenzi na Mkandarasi wa Majengo katika Southern Link Limited (2005-2006)
Quantity Surveyor katika WEBB Uronu and Partners Ltd (2007-2011)
Mkandarasi Mkuu wa Upimaji katika National Housing Corporation (2011-2016)

Uzoefu wa Kisiasa:

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mtwara, Ofisi ya Rais (2016-2020)
Mbunge wa Mafia kuanzia 2020

7. Abdallah Hamis Ulega – Mbunge wa Mkuranga

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 52,612 (alishinda dhidi ya Mtambo Mohamed Juma wa ACT Wazalendo aliyejipatia kura 4,056)

Elimu

Shahada ya Sayansi katika Microbiology na Sayansi ya Maji kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2005)
Elimu ya Sekondari katika Shule ya Pugu (1999-2001), Forodhani (1998), na Muungano (1988-1994)

Uzoefu wa Kazi:

Msaidizi wa Ekolojia katika Bahari Consultancy (2004-2006)
Meneja wa Mradi katika Mhz Group Ltd (2006-2008)

Uzoefu wa Kisiasa:

Kamishna wa Wilaya, Ofisi ya Waziri Mkuu (2012-2015)
Mbunge wa Mkuranga kuanzia 2015
Waziri wa Mifugo na Uvuvi (2023-present)

8. Mohamed Mchengerwa – Mbunge wa Rufiji

Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kura katika Uchaguzi wa 2020: 20,860 (alishinda dhidi ya Mchuchuli Kuruthum Jumanne wa ACT Wazalendo aliyejipatia kura 7,906)

Elimu

Shahada ya Uzamili katika Sheria (Masters of Laws) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2012-2013)
Shahada ya Sheria kutoka Kampala International University (2006)
PhD katika Sheria na Siasa kutoka vyuo mbalimbali kuanzia 2016

Uzoefu wa Kazi:

Naibu Katibu wa Baraza la Elimu ya Kisheria (2009-2015)
Resident Magistrate katika Mahakama ya Mwanzo (2006-2009)

Uzoefu wa Kisiasa:

Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Masuala ya Kisheria
Mbunge wa Rufiji kuanzia 2015
Waziri wa Maliasili na Utalii (2023)
 
Vip CV ya Ridhiwan

Afu Pwani inapendelewa Sana yaani mawazir Wanne?
1. Mchengerwa
2. JAFFO
3. ULEGA
4. RIDHWAN
 
Kumbe Twaha amejitahidi kusoma.
Ndio maana.
 
Back
Top Bottom