Putin sasa awa na nidhamu, yuko tayari kuonana na Trump kutafuta namna ya kumaliza vita vya Ukraine

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
14,698
17,840
Putin asema Russia 'iko tayari kwa mazungumzo' na Donald Trump kuhusu Ukraine.

Rais wa Russia Vladimir Putin alisema yuko "tayari kwa mazungumzo" na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu jinsi ya kumaliza vita nchini Ukraine.

Putin alitoa maoni hayo mwanzoni mwa wiki wakati wa mahojiano kwenye televisheni ya taifa ya Russia.

"Tunaamini kauli za rais wa sasa kuhusu utayari wake wa kufanya kazi pamoja. Daima tuko wazi kwa hili na tuko tayari kwa mazungumzo," Putin alisema Ijumaa wakati wa mahojiano.
===================
Russian President Vladimir Putin said he is "ready for negotiations" with U.S. President Donald Trump about how to end the war in Ukraine.

Putin made the comments earlier in the week during an interview on Russian state television.

"We believe the current president's statements about his readiness to work together. We are always open to this and ready for negotiations," Putin said Friday during the interview.

"It would be better for us to meet, based on the realities of today, to talk calmly."

Putin in February 2022 launched a full-scale military invasion of Ukraine that remains ongoing.

In comments made in December, the Russian leader said in hindsight, he should have begun the invasion even earlier.
 
Hakuanza kuwa tayari kwenye huu Utawala wa Trump! Hata wakati wa Biden alikuwa tayari kufanya mazungumzo lakini
Biden hakutaka! Biden alichotaka ilikuwa ni kuhakikisha US na NATO wanaishinda Russia kwenye uwanja wa vita,kitu ambacho US na NATO wameshindwa.
Trump ndiye anataka kutumia busara kumaliza vita hivyo.
 
Uwe unatumia akili japo kidogo tu,kama unazo lakini,

US kasimamisha misaada ya silaha kwa Ukraine,sasa hapo mwenye nidhamu ni nani unaona?

Putin alikua tayari kwa mazungumzo toka utawala wa Biden,
Kuna vitu ukiviandika kwa ushabiki,unaonekana kama vile umekatwa Kichwa,
Sio kila kitu unakielezea kwa ushabiki maandazi.
 
Tukisemaga Pro UkraiNATO ni watupu vichwani hua mnatuona tunawatikana.
Trump alishasema atatumia 24 hrs kumaliza vita endapo atachaguliwa Sasa yupo kazini.
 
Back
Top Bottom