Putin aliahidi kuikamata Ukraine ndani ya saa 48 na Trump aliahidi kumaliza vita hiyo ndani ya saa 24. What went wrong?

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
770
1,293
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?

Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?

Trumpism and Putinism theories will take over the world??
 
Na Israel ilihidi kumaliza Hamas mara moja na kuokowa mateka wa kiahudi, Mosad ilikosea wapi katika intelligence yao
 
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?

Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?

Trumpism and Putinism theories will take over the world??
Tuliza ball utajua mbivu na mbichi soon,ila dokezo tu,hata huko wapo chawa kama wale wa ccm a.k.a chukua chako mapema
 
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?

Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?

Trumpism and Putinism theories will take over the world??
Kwenye vita HUPASWI KUAMINI KAULI YA MMOJA WAPO KATI YA PANDE MBILI,VITA INA MBINU NYINGI IKWEMO NA HIZO KAULI.
 
Na wewe uliamini maneno yao wakati unajua vita ni process ya maamuzi ya pande mbili, hiyo ni siasa inayomaanisha ushindi haijalishi lini
 
Hiyo ya Saa 48 au 72,kuna watu ni miaka 3 sasa tunawaomba ushahidi au source kuwa Putin alitamka hayo lakini hakuna aliyewahi kufanya hivyo zaidi ya porojo tu!
Narudia,kama una ushahidi wa Putin kusema hivyo au source,weka hapa!
 
System ni mbovu na viongozi hawana commitment wala strategic plan PK anatumia hiyo kuwasumbua sn
Hahahahaaa,kuna sehemu thread imemtaja PK au DRC?Ulipogusiwa kuhusu Israel,ukaja juu kuwa ni nje ya mada uliyoweka!Nadhani mlengo wako umeshajulikana!
 
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?

Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?

Trumpism and Putinism theories will take over the world??
Trump kasema Putin katumia asilimia 20 ya nguvu zake
 
Wewe ndio utumie akili kwenye kuleta habari from source zinazoeleweka, maana tunaona mnasemaga hivyo while hakuna sehem yeyote putin amewahi sema hivyo
Acheni kufuatilia sana udaku hili nalo ni jambo linahitaji source na vyombo vya habari kimataifa vinatangza ni mitandaoni lipo. Inasikitisha hiki kizazi 😬
 
Ni bora kukaa kimya hili watu wasijue level ya ujinga wako kuliko kuongea na kufanya watu wajue we ni mjinga , ivyo sina budi kuku certify kama mjinga na poyoyo
Hahahaa sasa jambo dogo km hilo lipo mtandaoni na hulijui bado unaita wengine poyoyo?? Sometimes kaa tu kimya kificha maradhi ya akili.
 
Back
Top Bottom