Pump ya mafuta petrol station

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
25,013
27,263
Hivi ukienda kujaza mafuta sheli iwe diesel au petrol au mafuta ya taa,hivi kwenye ile mashine[pump yenye mpira na gang anayowekwa kwenye chombo ili akipress mafuta yatoke,hapa

Swali ni je! Yale mafuta yako kwenye mpira pale au yako kwenye gang pale kichwani kabisa au ukipress yanatoka kwenye pump moja kwamoja kutokakisimani?

Naomba kujuzwa
 
Back
Top Bottom