Pubic hair nyeupe

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
1,251
1,701
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kujua hili. Je, kuwa na ‘v*uzi’ jeupe (unywele mmoja pekee) sehemu za Siri kuna maana gani? Au ni kawaida tuu? Yaani msitu wote uwe unaota mwezi isipokuwa mti mmoja tuu kila wakati ndo mweupe.

Tena age ya mhusika ni ndogo tuu kwenye miaka 30.
 
Mods siwaelewi kwa kweli. Huu uzi mnauletaje huku? Huu ulifaa kwenye hoja mchanganyiko maana hausuani na afya. Kwamba ni health complications hapana. Sijui mnajionaje yaani?
 
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kujua hili. Je, kuwa na ‘v*uzi’ jeupe (unywele mmoja pekee) sehemu za Siri kuna maana gani? Au ni kawaida tuu? Yaani msitu wote uwe unaota mwezi isipokuwa mti mmoja tuu kila wakati ndo mweupe.

Tena age ya mhusika ni ndogo tuu kwenye miaka 30.

30 ni miaka midogo??🤣🤣
 
Hiyo kawaida tu mbona... Ni kama mimi tu kichwani nywele zangu zote nyeusi ila nina mvi kama tano utosini na zipo hapo miaka na miaka.... Hlafu kwanini anafuga zivu hadi kufika urefu wa kujua nyeupe na nyeusi??? Anakata handasi
 
Itakuwa rastafarian😂
 
Mh mambo ni mengi!mi naona kama ambavyo ingeweza kuota nyeusi zote zikawa nyeusi imeota nyeupe ni kawaida tu kama ambavyo zingeota nyeusi zote ,wenye imani zao watakuja kutiririka yao.
 
Hiyo kawaida tu mbona... Ni kama mimi tu kichwani nywele zangu zote nyeusi ila nina mvi kama tano utosini na zipo hapo miaka na miaka.... Hlafu kwanini anafuga zivu hadi kufika urefu wa kujua nyeupe na nyeusi??? Anakata handasi
Kuna wakati linabaki unaliona
 
Back
Top Bottom