'Protect' mode ya samsung Bru ray player

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,084
8,383
Samsung player model HT-E6750w/xy imetoa msg ya protect mode baada ya kuwaka kisha ikazima. Nimechat na Samsung kwa kuwapa serial number naona ni story tu. Pls mwenye uelewa wa hii maneno
 
Tatizo ni kuwa ktk sekunde chache inapata joto sana. Na inaamua kujistwitch off. 1.huenda kuna waya zinaleta short 2.power supply module ina components zinalikage( need to be replaced)
Check na Samsung dealler. Kama awawezi ni PM ntakusaidia
 
NakuPm mkuu

Kuna spare 'IC' ilipata shida nikaagiza toka Singapore. Kuirudishia tu ikawaka lkn inajiswitch off
 
Katika electronics akuna kitu kinachoitwa class D capacitor. Aliekwambia hivyo ajui electronics
Mate I ment amplifier not capacitor! Really am novice in electronics. Please can you reply my Pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…