Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Aliyetoa speech kwamba waafrika wanajua ngono tu, kuzaa tu, hawafikirii.maendeleo,
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara afrika
Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la africa
Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel imepoteza ushawishi katika nchi za ulaya na marekani
hivyo bhas anatafutwa uungwaji.mkono.kutoka afrika
Lakin.huyu ndo netanyahu yuleyule muuaji wa wapalestina
Adui wa waafrika anayechukia ngozi.nyeusi na pia mbaguzi
Aliyetoa speech kwamba waafrika wanajua ngono tu, kuzaa tu, hawafikirii.maendeleo,
Kiongozi.huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la israel knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma
Jee kiongozi mbaguzi kama huyu kuna haja gani ya kujisogeza karibu naye?
Israel bado ni tegemezi haiwez kusurvive bila marekani
Naipongeza sana tanzania kwa kwa kutoa ushirikiano.mdogo sana kwa kiongozi huyu mpenda vita wa utawala hatari wa israel
Tena kusingekua na haja ya kumtuma hata waziri nchi zote zinapaswa kuvunja uhusiano na utawala huu haramu unaokalia ardhi za palestina kwa mabavu utawala unaoua wanawake na watoto wadogo wasio na hatia huko Gaza
mtu mwenye IQ kubwa hawezi kushadidia wanaume kuoanaHilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu wanasema IQ ya Kusini mwa Sahara ni 70 wkt ile ya Dunia nje ya kwetu inaanzia 90 kuendelea (hii ni kulingana na hao Wazungu tunaowaabudu hivyo usinihukumu)!
Kilichomleta Netanyahu Afrika ndicho kile kile kilichomleta Kim wa Korea Kaskazini na ndicho kilichomleta Park wa Korea Kusini Afrika pia, hawa wote wanahitaji mtu wa kuwaunga mkono kwenye mambo yao huko UN, sasa kwa kuwa Dunia nje na Afrika watu wanajitambua sehemu pekee ya wao kupata kura za bure ni Afrika kwetu (Kusini mwa Sahara) hakuna kingine, wanazuga kuja na Wafanyabiashara lkn ajenda ndiyo hiyo wanataka kura za Afrika huko UN, sasa Israeli (hasa utawala wa Netanyahu) unabanwa na Dunia nzima kuhusu uonevu wanaowafanyia Wapalestina hata Ulaya wanasapoti Palestianian State mpaka Obama mwenyewe sasa wanahitaji (Isreali) mtu wa kuwasapoti huko UN ni nani huyo?
Ndiyo maana nampenda na kumkubali Raisi wangu Magufuli, hana mpango na hao takataka na wala kwanza hajaenda kwenye upuuzi wao!!
Long live raisi Magufuli!
mbona Magufuri katuma mwakilishi wake huko lakini kwa sababu wewe huwezi kutambua hiloHilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu wanasema IQ ya Kusini mwa Sahara ni 70 wkt ile ya Dunia nje ya kwetu inaanzia 90 kuendelea (hii ni kulingana na hao Wazungu tunaowaabudu hivyo usinihukumu)!
Kilichomleta Netanyahu Afrika ndicho kile kile kilichomleta Kim wa Korea Kaskazini na ndicho kilichomleta Park wa Korea Kusini Afrika pia, hawa wote wanahitaji mtu wa kuwaunga mkono kwenye mambo yao huko UN, sasa kwa kuwa Dunia nje na Afrika watu wanajitambua sehemu pekee ya wao kupata kura za bure ni Afrika kwetu (Kusini mwa Sahara) hakuna kingine, wanazuga kuja na Wafanyabiashara lkn ajenda ndiyo hiyo wanataka kura za Afrika huko UN, sasa Israeli (hasa utawala wa Netanyahu) unabanwa na Dunia nzima kuhusu uonevu wanaowafanyia Wapalestina hata Ulaya wanasapoti Palestianian State mpaka Obama mwenyewe sasa wanahitaji (Isreali) mtu wa kuwasapoti huko UN ni nani huyo?
Ndiyo maana nampenda na kumkubali Raisi wangu Magufuli, hana mpango na hao takataka na wala kwanza hajaenda kwenye upuuzi wao!!
Long live raisi Magufuli!
kuna kiongozi wa nchi anaeenda safari isiokuwa na msalahi nje ya nchi?Hilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu wanasema IQ ya Kusini mwa Sahara ni 70 wkt ile ya Dunia nje ya kwetu inaanzia 90 kuendelea (hii ni kulingana na hao Wazungu tunaowaabudu hivyo usinihukumu)!
Kilichomleta Netanyahu Afrika ndicho kile kile kilichomleta Kim wa Korea Kaskazini na ndicho kilichomleta Park wa Korea Kusini Afrika pia, hawa wote wanahitaji mtu wa kuwaunga mkono kwenye mambo yao huko UN, sasa kwa kuwa Dunia nje na Afrika watu wanajitambua sehemu pekee ya wao kupata kura za bure ni Afrika kwetu (Kusini mwa Sahara) hakuna kingine, wanazuga kuja na Wafanyabiashara lkn ajenda ndiyo hiyo wanataka kura za Afrika huko UN, sasa Israeli (hasa utawala wa Netanyahu) unabanwa na Dunia nzima kuhusu uonevu wanaowafanyia Wapalestina hata Ulaya wanasapoti Palestianian State mpaka Obama mwenyewe sasa wanahitaji (Isreali) mtu wa kuwasapoti huko UN ni nani huyo?
Ndiyo maana nampenda na kumkubali Raisi wangu Magufuli, hana mpango na hao takataka na wala kwanza hajaenda kwenye upuuzi wao!!
Long live raisi Magufuli!
hahhaha mkuu khabari yako hivi upo? umepotea sanapambeetyu umeamua kuanzisha uzi mwingine kuficha yaliyotokea MADINA,wewe elewa tu kuwa JINI limerudi nyumbani yaani Ugaidi umerudi nyumbani.na waliofanya hayo ni hao hao wenzenu.
tulia kwanza alshabaab wamezidi kuchezea sharubu za simba. kazi IPO mbona teh! teh! teh! soon alshabaab watakimbilia madina na waoNachoona hapa ni vita ya kuwatetea I,e mabwana zenu i,e Waarabu vs Waisrael....huu upuuzi sijui utaisha lini
Hivi yule mbunge alieomba Serikali ifungue balozi nchini Israel alikua wa chama kipi? Na Ujumbe Maige alioenda nao umetoka kwanani? Mambo mengine tukae kimya tu.Hilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu wanasema IQ ya Kusini mwa Sahara ni 70 wkt ile ya Dunia nje ya kwetu inaanzia 90 kuendelea (hii ni kulingana na hao Wazungu tunaowaabudu hivyo usinihukumu)!