Project Consultant....what i can offer for you

The BornAgain

JF-Expert Member
Jun 23, 2024
376
500
Habari wanajamvi..
Kila siku watu wanawaza how to make money through doing businesses or establishing commercial projects.
Kuna watu wana mitaji ila wana hofu wajilipue vipi, wanaogopa risks hasa za kupoteza fedha..lakini ijulikane kama hutapoteza while doing business with profit motivation, its likely utapoteza kwenye maeneo mengine ya kimaisha ambayo ni ngumu kupredict faida zake..Pesa huwa inakuja mikononi mwetu kwa ajili ya kutumika izae au kusatistify mahitaji yetu.
Napendekeza kwa wale wenye pesa hawajui wafanye nini ..consult washauri ktk eneo husika mjadili possible and viable projects.
NA kwa wenzangu namimi ambao hatuna mitaji au rasilimali za kutuwezesha kufanya biashara au kuanzisha miradi, dare not to die before trying to invest in your foremost business/project idea!! Always money is around! Ukiwa na idea , na unaliamini mana usipokuwa na hela akili huwa inawaza profitable idea, ukiwa nazo mawazo hujichanganya unaona giza..sasa wewe nawe Consult mshauri kaeni chini muone possible financing opportunity at your level! Nothing impossible under the sun!! Project idea sio iwe lazima iwe ya millions of money, but even little money can grow more! Mfano kuna mtu alikuwa na wazo pendwa la kuwa na bakery yake, mawazo yake yakawa mapana sana tofauti na uwezo wa mtaji..ikabidi tufanye SWOT analysis, tukaona anaweza kuanza chini bila kuwa na sehem maalum na uoakaji wa mikate , skonsi, na maandazi kwa mtaji aliokuwa anaweza kumobilize ..lakini leo ana Bakery nzuri inayozalisha varieties ya baked products...na hiyo level ilifika baada ya kupata wadau waliomsapot idea yake iliyokuwa imeanza kwa udogo, akajikuta financiers wanajileta wenyewe na hatimae kuwatumia kufikia wazo lake la awali..alikuwa na business plan yake iliyoanza kwa kiasi chini ya laki 5 lakini ikionyesha intention ya kufikia atkeast 15ml na zaidi..na ndipo alipo sasa..
Tusidharau huduma za washauri wa miradi, kama ambavyo hatudharau huduma za wahasibu/wakaguzi hesabu/wanasheria/madaktari.
Nipo kwenye field ya kushauri uanzishwaji miradi na uimarishaji/uboreshaji miradi. Maeneo yangu mahususi ni Kuandika maandiko ya miradi, kushauriana mezani au kwa simu iki kung'amua nini hitaji: ila pia kufanya upembuzi yakinifu kwa miradi yoyote ili kupata uhalali na uhakika wa mradi husika kabla pesa hazijawekwa humo, lakini pia kufanya Monitoring and Evaluation ya mradi wowote ili mwenye mradi aweze kufikia malengo yake aliyoyaweka awali...hii ni mhimu sana sababu mradi au biashara ni kama mtu/kiumbe anayezaliwa anahitaji uangalizi na kufuatilia mwenendo wa ukuaji wake..ndo mana mtoto akizaliwa au tangu tumboni mama anakwenda clinic hadi pale mtoto atakapokuwa stable miaka kadhaa, na vado mzazi ataendelea na M&E hadi mbelembele kwa mbele atapoona mtoto umefanikiwa kuwa mtu mzima mwenye mafanikio na akiona bado ataendelea hata kama una mvi..kuna wakati hata vikao utakalishwa ilimradi kuboresha kufikia malengo...Ndivyo na miradi na biashara zetu zilivyo..

HIVYO TO BOLD my article, wanazengo tujitahidi kutumia huduma za washauri kama mimi, popote ulipo tunafanya kazi, faida ni nyingi kuliko kuegemea ushauri kirafiki, au muono wako binafsi au kusomq mazingira peke yake..Usiogope gharama mana hata ukikwepa somewhere utalipia tu hata kama kwa kupoteza. Mhimu gharama za ushauri na kuandika maandiko ni maelewano sio fixed, you negotiate ila usidhanie ni jaribu kutambua umhimu wa mshauri na kile anaenda kuokoa au kuongeza tija ktk mradi wako.
Asante, am available kwa yeyote serious, comment za kucritisize ziwe na lengo la kujenga sio kubomoa, mana sijakamilika pia. For a serious person send your enquiry privately
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom