Programu za Online kwa ngazi ya Master, DUCE

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
782
1,056
Kwenye kitabu cha mwongozo, DUCE wana kozi mbili za Master zifundishwazo kwa mfumo wa online, nazo ni
- Master of Education in Educational Leadership and Policy Studies.
&
- Master of Education in Curriculum Studies.

Naomba kujuzwa kwa waliosoma kwa mfumo huo katika chuo hicho,
Ufanisi upo?
Watu huhitimu kwa wakati (miezi 18)?
Changamoto kuu ni zipi?

Naomba mwongozo.
 
Back
Top Bottom