Profesa Muhongo atoa maagizo REA

Yaani katika Mawaziri wa JPM ambao wanafanya vizuri, huyu Muhongo anaongoza
Kwa kweli nami namkubali saana. Kwanza hakurupuki. Alitumia muda kukutana na wafanyakazi. Anan mikakati Excellent. Kuna watu wanasema anamwogopa Magufuli sidhan yeye kwa ujumla ni mtendaji mahiri. Mapungufu mengine basi tungeweka malaika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…