hiv hawa mawaziri kwa kutaka cheap popularity,hawawezi kukaa siku moja bila kuwa na vyombo vya habari?Muhongo,unataka uraisi?maana naona vyombo vya habari na picha unapenda sana.
mimi naona fanya publication kwenye website ya wizara yako na sio kupiga kelele na fanya kazi na watu wote tanesco na wizarani wewe sio chochote kile,fanya kazi yako nenda nyumbani.

What?? Hizo takwimu kachukua installation power capacity ya kila mtambo au active power inayozalisha kila mtambo kwa sasa? Kama kwa kila mtambo unavyozalisha kwa sasa bado nakataa hizi si za kweli kachakachua. Nyie mliopo dar mimi naweza sema hamna mgao kabisa balaa lipo huko kwa wasiojua kuongea na kupiga kelele. Uhalisia wa umeme unatakiwa kureflect na uhalisia wa upatikanaji wa nishati hiyo huku nchini sio makaratasi yanasema hakuna shida ya umeme alafu huku kitaa kila saa kumi na mbili asubuhi umeme unakatika kurudi baada ya masaa 12 then uje uniambie hakuta upungufu katika uzalishaji tusitaniane kirahisi hivyo. Cha msingi huko tanesco hasa upande wa uzalishaji bado ubunifu, uwekezaji mkubw na uthubutu unahitajika. Pia hawa wanaojiita maofisa wa mipango nchini hapa cjui hawana uwezo au idea zao zinazimwa na kubaki kwenye makaratasi tu au la
Mkuu, ukiona MW , hiyo sio active power mzee (kva) wala sio installation capacity, hapo
tayari tunazungumzia useful power.
.Ulishawahi kupitia hivyo vituo vya kuzalisha umeme ukajionea efficiency yake ya uzalishaji kwa sasa kila mtambo unaweza toa maxmum power kiasi gani??? Hizo ni takwimu za makaratasi tu mitambo imechoka huko inapumulia pua service mbovu kabisa hakuna pesa ya kufanyia service kama inavyotakiwa ila kwenye makaratasi watu wanacopy tu capacity zile zile za tangu mtambo unafungwa. Alafu labda unifafanulie unaposema sio active power ni usefull power kivipi yaani unapinga kitu gani na unaeleza kitu gani?