08 December 2023
Arusha, Tanzania
16th Joint Transport Sector Review Meeting
Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI / PO-RALG )
PROF. MBARAWA : MWEKEZAJI MPYA KUWEKEZA BANDARI YA DSM, SIO DP WORLD NI KAMPUNI NYINGINE
View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9S3V7uREU
Ambapo waziri wa uchukuzi amebainisha kuwa taratibu zinaendelea za kumpata mwekezaji kuendesha shughuli katika gati namba 8 hadi gati 11 bandari ya Dar es Salaam huku akisisitiza gati hizo namba 8 hadi 11, kampuni ya DP World haihusiki katika uwekezaji huo.
Pia viwanja vya ndege kama Arusha airport unaoongoza kwa miruko / flights nyingi za ndege Tanzania unaongezewa urefu wa njia ya kuruka ndege na kuwekewa taa ili ndege ziweze kutua wakati wote usiku na mchana.
Pia waziri Prof. Makame Mbarawa amesema Lindi kutajengwa uwanja wa ndege kwa kuwa kuna miradi mingi ya uwekezaji ktk sekta ya gesi n.k hivyo kunahitajika uwanja wa ndege. Vilevile viwanja vya ndege Mtwara jengo la abiria na Mwanza airport jengo la abiria kuendelezwa upya ulingane na hadhi yake.
MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA UCHUKUZI JIJINI ARUSHA
View: https://m.youtube.com/watch?v=xsF-PWh-WSk
Video wizara ya ujenzi