johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,005
- 168,418
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amewataka Watanzania kamwe wasikubali kurudi kwenye Bakora za Shujaa Magufuli aliyewanyoosha kwa kuzuia mikutano ya kidemokrasia
Kuna watu wanasema udikteta ni mazuri lakini Mimi nasema unachelewesha Maendeleo, amesisitiza Lipumba
Kumbukeni bakora za Magufuli aliyezuia Demokrasia nchini, amelalamika Prof nguli wa uchumi Dunia nzima
Lipumba alikuwa akitoa mada kwenye mkutano wa Vyama vya Siasa huko Tanzania Visiwani, Zanzibar
Mlale Unono 😀😀