Prof. Kitila Mkumbo, umeanza kwa kuchemka

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Katika hotuba yake ya kwanza amezungumzia Kilimo cha umwagiliaji kama ndio kipaumbele chake katika kutimiza majukumu yake katika wizara ya maji.

Swali langu, toka lini kipaumbele cha wizara ya maji ni kilimo cha umwagiliaji? Kilimo cha umwagiliaji ni kipaumbele cha wizara ya kilimo kimkakati.

Wizara ya maji tunahitaji utwambie tutapataje maji safi na salama . Kwani hujui ni kiwango gani cha wanchi hawana maji salama?

Hicho sio cheo cha kisiasa.
 
Tabutupu, nimesema humu kuwa Kitila ni Nguin per se! This is a technical department, inahitaji mwanasayansi, siyo mwanasiasa... political scientist!
 
Kwa taarifa yako Wizara ya maji ndiyo wamiliki wa maji yote hapa nchini ,wizara ya kilimo haiwezi kuanzisha mradi wa umwagiliaji bila kibali cha wizara ya maji.
Halafu wizara yake inaitwa wizara ya maji na umwagiliaji unafikiri neno umwagiliaji limewekwa hapo kimakosa?
 
Tabutupu, nimesema humu kuwa Kitila ni Nguin per se! This is a technical department, inahitaji mwanasayansi, siyo mwanasiasa... political scientist!
Prof. Kitila Mkumbo amesona PCB ila wakati anasoma education (yaani 2nd year wakati wa ku-specialize) ali-drop somo moja aka-major education ndo maana degree yake ya kwanza ni Bed (Science) na baadae aka-specialize kwenye Psychology. Hii ina-apply pia kwa Prof. Ndalichako aliprop chemistry akabaki na mathematics na ku-major education.
 

Tabutupu, nimesema humu kuwa Kitila ni Nguin per se! This is a technical department, inahitaji mwanasayansi, siyo mwanasiasa... political scientist!
Jamani uongozi ni coordination na hakuna jingine, sitaki kukubaliana kwamba tunataka Kitila akashike pipe rangers!
Kwanza Tushukuru ameweza hata kutamka "vision" yake ya umwagiliaji, inatakiwa sasa tusubiri/ tufuatilie tuone ni kwa namna gani atafikia hio ndoto yake kwa kipindi atakachokuwa hapo wizarani kama mratibu wa hio Wizara.
 
This is too good to consider them worth to fill the vaccant per their education
 
Sasa psychology na umuagiliaji wapi na wapi! Mambo ya kitaalamu unampa mwana siasa hatari sana,apo ilibidi akae mtaalamu au engineer kabisa wa mambo ya irrigation nk! Au MTU kilimo kutoka sua basi
 
kitila ni psychologist. Basi Hata angeenda wizara y'a elimu. Maji? Wapi Na wapi?

Prof kitila angekaa vizuri sana katika wizara ya elimu, sayansi na teknolojia
Nilipitia juu juu wasifu wa Prof Kitila, alishawahi kuwa Mwenyekiti wa UDASA, Mkuu wa kitivo cha Elimu, mjumbe wa kamati ya chedema, mshauri wa chama cha ACT, nk.

Sijaona tofauti ya majukumu hayo hapo juu na nafasi aliyoteuliwa. Unless kwa mtizamo wenu mnataka/ mnadhani angepelekwa huko Wizara ya Elimu basi ataenda kushika chaki na huku Wizara ya maji na umwagiliaji hawezi kushika spana ya bomba au drill ya kuchimba visima.

Tulitakiwa kujiuliza/ kufahamu ni nini haswa majukumu ya msingi ya Katibu Mkuu wa Wizara.
 
Mimi ameniboa aliposema kuwa badala ya kuwa anaihoji Serikali sasa atazijibu hoja zinazoibana Serikali ipasavyo. Nilitegemea angesema atafanya kwa vitendo kuonesha utendaji makini katika kazi yake mpya.
 
mkuu ni mtaalam kampa mhe,wizara anayojua hataiweza ili baadaye aache kuchonga ngenga
......
 
Kwahiyo unamaanisha priority ni kilimo cha umwagiliaji na sio wanadamu kupata maji ya kunywa ya uhakika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…