MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Uliyeshiba ongeraa sanaaNjaa mbaya sana
Ni kweli njaa ni mbaya kwa sababu hakuna binadamu anaweza kuishi huku akiwa na njaa.Njaa mbaya sana
Kufa kufaana!Aisee kila la heri kiongozi nenda kale kishoka kama wengine mkuu sema kwa sasa marupurupu yamechinjiwa baharini.
Jamani tupunguze chuki dhidi ya serikali !ina maana mpaka leo hamuamini kuwa Magu ni Rais wenu?na kwamba anaweza kumteua mtanzania yeyote kushuka wadhifa wowote ule ambao hauna mashart ya kiitikadi?kwamba Kitila anapaswa kuwa mpiga kelele tu si mtendaji na kuteuliwa kwake ni ubatilifu?mimi naona Kitila kapewa nafasi ta kuyafanya aliyo yapigia kelele ikiwezekana amchague na lisu kuwa Jaji mkuu au mwanasheria mkuu!Njaa mbaya sana
This cant be real!!!
Mkuu usiniambie hii picha ni ya leo?? Last week tu katoka kumlaumu rais jinsi alivyohandle suala na makonda kuvamia clouds leo hii hta wiki haijaisha anamshika mkono kaz kwelikweli
Kila siku anapiga kelele humu ukitaka serikali ikupatia ajira lakini cha kushangaza unataka wengine wasipate hizo ajira.