Akizungumza katika uzinduzi wa Kongamano la Kikanda la Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2050 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema zaidi ya 81% ya waliotoa maoni ni Vijana kati ya miaka 15- 35.
Pia soma: Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ushiriki wa Wananchi katika Kuunda Dira ya Taifa
Amesema hayo Julai 20, 2024 jijini Mwanza na kufafanua kuwa Vijana wamependekeza Serikali kishughulikia zaidi uchumi na Ustawi wa Jamii kwa kuongeza nafasi za ajira na uwekezaji kwenye huduma bora za kijamii