BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,390
- 11,641
Tunapaswa kumuonyesha Raisi Samia kwamba haturidhishwi na mfumo wa huduma za Afya Tanzania, na ikiwemo Hospitali kuu ya Muhimbili unayo simamiwa na huyo anaye pigiwa upatu.
Nchi ina mifumo mibovu sana ya Afya, tuwe serious hapa.
Huduma za Hospitali ya Muhimbili sio nzuri na zinalalamikiwa sana na wadau wengi wanao enda kutibiwa kule.
Sasa kama Muhimbili kashindwa vipi huko WHO? Janabi anapaswa kutuonyesha alivyo fanikiwa Muhimbili kwanza kabla ya huko.
Tunapaswa kuwaonyesha jambo, na sio kuwa mazezeta kwa kila jambo na kuburuzwa tu.