Producer Lamar alistahili kabisa kuchukua Taji la P Funk majani katika Tasnia hii ya Muziki

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Sep 15, 2024
146
166
PRODUCER LAMAR

Producer Lamar amesema yeye na Producer P Funk Majani ni mtu na binamu yake lakini Majani alikuwa hana imani nae kwenye upande wa utayarishaji wa muziki japo alimuonesha kwamba anaweza kuandaa muziki.

Producer Dunga ndiye alimpa imani P Funk Majani mpaka kuanza kumkubali na kumuamini Lamar ameiva kuwa mtayarishaji wa muziki

Lamar ana zaidi ya miaka 10 kwenye utayarishaji wa muziki Bongofleva ambapo ametengeneza hits kibao huku P Funk Majani akiwa na zaidi ya miaka 20 katika utayarishaji wa muziki Bongofleva.

#FUNGUKA.

KWA mtazamo wangu naona Lamar alistahili kabisa kuchukua Taji la P Funk majani katika Tasnia hii ya Muziki ..

Ebu sikiliza Baadhi ya Ngoma kutoka kwa professor jay alizotengeza " Lamar"

Mfano.

1. Profesor jay ft Chid Benz - Usilie
UKWAJU WA KITAMBO
0767 542 202
1730053787559.jpg
 
Back
Top Bottom