el nino JF-Expert Member Nov 5, 2013 4,712 5,051 Apr 27, 2016 #1 Wimbo wa chura ukiisha ... umeandikwa "To be continues"... Sasa kama lugha ngumu si angeandika kiswahili tu
Wimbo wa chura ukiisha ... umeandikwa "To be continues"... Sasa kama lugha ngumu si angeandika kiswahili tu
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,644 44,288 Apr 27, 2016 #2 Hahahaha....nyimbo za cku hz bwana
Password JF-Expert Member Feb 17, 2011 777 1,082 Apr 27, 2016 #3 Hivi huo wimbo maudhui yake ni nini hasa, maana suielewi kabisa naombeni msaada katika hili