G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,545 10,279 May 22, 2016 #2 Theodore bagwell the convict hiki chuma khabari zake nzito.
Benny JF-Expert Member Jun 6, 2014 3,275 5,403 May 22, 2016 #4 Sarah mchumba wa Michael ule usichana umeisha anakua mtu mzima sasa... Theodore pia anazeeka muda umepita sana tangu session 4 ilipoisha!
Sarah mchumba wa Michael ule usichana umeisha anakua mtu mzima sasa... Theodore pia anazeeka muda umepita sana tangu session 4 ilipoisha!
Curious Naturally JF-Expert Member Mar 2, 2013 528 523 May 22, 2016 #5 Si huyu jamaa ndio alijitangaza shoga?
bukoba boy JF-Expert Member Jan 15, 2015 5,370 3,956 May 22, 2016 #6 Curious Naturally said: Si huyu jamaa ndio alijitangaza shoga? Click to expand... So what?
Curious Naturally JF-Expert Member Mar 2, 2013 528 523 May 22, 2016 #7 bukoba boy said: So what? Click to expand... Siangalii movie ya shoga
bukoba boy JF-Expert Member Jan 15, 2015 5,370 3,956 May 22, 2016 #8 Curious Naturally said: Siangalii movie ya shoga Click to expand... Hahaha nyi ndo wale mliokua mnamchukia yule mama kwenye maigizp ITV kisa anaigiza uchawi
Curious Naturally said: Siangalii movie ya shoga Click to expand... Hahaha nyi ndo wale mliokua mnamchukia yule mama kwenye maigizp ITV kisa anaigiza uchawi
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,849 67,285 May 22, 2016 #10 Benny said: Sarah mchumba wa Michael ule usichana umeisha anakua mtu mzima sasa... Theodore pia anazeeka muda umepita sana tangu session 4 ilipoisha! Click to expand... *Season 4
Benny said: Sarah mchumba wa Michael ule usichana umeisha anakua mtu mzima sasa... Theodore pia anazeeka muda umepita sana tangu session 4 ilipoisha! Click to expand... *Season 4
Curious Naturally JF-Expert Member Mar 2, 2013 528 523 May 22, 2016 #11 bukoba boy said: Hahaha nyi ndo wale mliokua mnamchukia yule mama kwenye maigizp ITV kisa anaigiza uchawi Click to expand... Hapana, huyo kama unampenda mpende wewe! Nyimbo za Elton Johnson, movie hii siangalii kamwe
bukoba boy said: Hahaha nyi ndo wale mliokua mnamchukia yule mama kwenye maigizp ITV kisa anaigiza uchawi Click to expand... Hapana, huyo kama unampenda mpende wewe! Nyimbo za Elton Johnson, movie hii siangalii kamwe
Powder JF-Expert Member Jan 6, 2016 4,800 6,294 May 22, 2016 #12 bukoba boy said: Hahaha nyi ndo wale mliokua mnamchukia yule mama kwenye maigizp ITV kisa anaigiza uchawi Click to expand... Haina uhusiano!
bukoba boy said: Hahaha nyi ndo wale mliokua mnamchukia yule mama kwenye maigizp ITV kisa anaigiza uchawi Click to expand... Haina uhusiano!